Loading...
title : Kesi ya mauaji ya ndugu wa Heche yasogezwa mbele
link : Kesi ya mauaji ya ndugu wa Heche yasogezwa mbele
Kesi ya mauaji ya ndugu wa Heche yasogezwa mbele
Na Timothy Itembe,Tarime,
Mshtakiwa wa kesi ya mauaji PI 79,2018, William Marwa (50) anayedaiwa kumuua ndugu wa Mbunge wa jimbo la Tarime vijijini John Heche mnamo April 27,2018 kesi hiyo imepigwa kalenda hadi Mei 29 mwaka huu katika mahakama ya wilaya Tarime mkoani Mara.
Mwendesha mashitaka wa jeshi la polisi, Mwani Mrisho ameiambia mahakama hiyo kuwa upelelezi bado na mshitakiwa anatakiwa kurudi rumande hadi 29,05,2018.
Kesi inayo mkabili mtuhumiwa huyo ipo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya wilaya ya Tarime Amon Kahimba
Hivyo makala Kesi ya mauaji ya ndugu wa Heche yasogezwa mbele
yaani makala yote Kesi ya mauaji ya ndugu wa Heche yasogezwa mbele Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kesi ya mauaji ya ndugu wa Heche yasogezwa mbele mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/kesi-ya-mauaji-ya-ndugu-wa-heche.html
0 Response to "Kesi ya mauaji ya ndugu wa Heche yasogezwa mbele"
Post a Comment