Loading...

KINANA AKABIDHI RASMI MIKOBA KWA DK. BASHIRU OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA

Loading...
KINANA AKABIDHI RASMI MIKOBA KWA DK. BASHIRU OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KINANA AKABIDHI RASMI MIKOBA KWA DK. BASHIRU OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KINANA AKABIDHI RASMI MIKOBA KWA DK. BASHIRU OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA
link : KINANA AKABIDHI RASMI MIKOBA KWA DK. BASHIRU OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA

soma pia


KINANA AKABIDHI RASMI MIKOBA KWA DK. BASHIRU OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA

 Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Taifa, Abdulrahman Kinana akipunga  mikono kuwaaga wafanyakazi na Viongozi wa Ofisi ndogo ya CCM Lumumba mara baada ya kukabidhi ofisi kwa Katibu Mkuu mpya Dkt. Bashiru Aliy ambaye ameanza kazi rasmi leo.
  Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Taifa, Abdulrahman Kinana akizungumza na Waandishi wa habari mara baada ya kumaliza kukabidhi ofisi kwa katibu Mkuu mpya wa CCM.
 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi DK. Bashiru Ali akiwaeleza Waandishi wa Habari kutoka Vyombo mbalimbali vipaumble vyake katika uongozi alioupata ndani ya CCM katika awamu hii ya tano .
  Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Taifa, Abdulrahman Kinana akiagana na baadhi ya Watendaji wa Chama Cha Mapindzui waliofika katika hafla ya kukabidhi Ofisi iliyofanyika  katika Ofisi ndogo ya CCM Lumumba.
  Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Taifa, Abdulrahman Kinana, akiagana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rodrick Mpogoro mara baada ya kumaliza kukabidhi ofisi kwa katibu mkuu mpya .
  Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Taifa, Abdulrahman Kinana akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi waandamizi wa CCM Lumumba.


Hivyo makala KINANA AKABIDHI RASMI MIKOBA KWA DK. BASHIRU OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA

yaani makala yote KINANA AKABIDHI RASMI MIKOBA KWA DK. BASHIRU OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KINANA AKABIDHI RASMI MIKOBA KWA DK. BASHIRU OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/kinana-akabidhi-rasmi-mikoba-kwa-dk.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KINANA AKABIDHI RASMI MIKOBA KWA DK. BASHIRU OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA"

Post a Comment

Loading...