Loading...
title : MADIWANI WA MANISPAA YA LINDI WAFANYA ZIARA DAR,WAIMWAGIA SIFA MANISPAA YA ILALA KWA USAFI
link : MADIWANI WA MANISPAA YA LINDI WAFANYA ZIARA DAR,WAIMWAGIA SIFA MANISPAA YA ILALA KWA USAFI
MADIWANI WA MANISPAA YA LINDI WAFANYA ZIARA DAR,WAIMWAGIA SIFA MANISPAA YA ILALA KWA USAFI
Mwamba wahabari
Madiwani kutoka mkoani Lindi leo wameafanya ziara ya sikumoja kutembelea maeneo mbalimbali katika Maispaa ya Ilala kwa lengo la kujifunza , ambapo katika hatua ya kwanza wamepata semina ya Mazingira iliyotolewa na wataalamu wa Idara ya mazingira wa Manispaa.
Katika semina hiyo wamepata kujifunza na kupata uzoefu wa namna Manispaa ya Ilala inavyo shughulikia suala la usafi katika maeneom ya mjni na pembezoni ya mji.
Akitoa mafunzo kwa Madiwani hao mkuu wa Idara hiyo Abdon Mapunda ,ameelezakuwa Manispaa ya Ilala imefanikiwa kupungu kwa kiasi kikubwa tatizo la uchafu wa taka katika maeneo ya katikati ya jiji kutokana na ushirikianao wa wafanyabiashara , wakandarasi wa makampuni ya kuzoa taka na mipango mizuri ya usimamizi iliyo wekwa na Manispaa hiyo.
Baadhi ya Madiwani wakichangia na kuuza maswali wameipongeza Manispaa ya Ilala kwa kupiga hatua kubwa katika maeneo hayo na kusema kuwa ziara yao imekuwa na mafanikio pamoja na mapokezi mazuri ambayo wamesema wamepokelewa vizuri , wameahidi kuyafanyia kazi waliyojifunza ilikuweza kuendeleza maeneo ya mji wao.
Aidha katika hatua nyingine Madiwani hao wametembelea eneo kiwanda ch kuchakata taka kuwa mbolea KIKUTA kilichopo Gongolamboto , pamoja na Dampo la Kinyamwezi ambapo meneo yote hayo wamekutana na wataalamu waliowapa maelezo namna maeneo hayo yanavyojiendesha.
Akizungumza baada ya kuhitisha ziara hiyo Mstahiki Meya wa Manispaa ya Lindi Mohamed Liyumbo , ameshukuu kwa kupata mapokezi makubwa kutoka Ilala na kusema kuwa ziara yao imekuwa na mafanikio makubwa kwani wamejifunza mambo mengi kuhusu mazingira na watakaporudi kwao watahakikisha wanayafanyia kazi yote waliyojifunza .
‘’Nashukuru sana Manispaa mmetupokea vizuri tumpata semina , tumetembelea miradi ya mazingira kwakweli tufahamu mengi mmetufumbua macho nasisi tumeona ipohaja ya kufanya kamaninyi.’’Alisema
Hivyo makala MADIWANI WA MANISPAA YA LINDI WAFANYA ZIARA DAR,WAIMWAGIA SIFA MANISPAA YA ILALA KWA USAFI
yaani makala yote MADIWANI WA MANISPAA YA LINDI WAFANYA ZIARA DAR,WAIMWAGIA SIFA MANISPAA YA ILALA KWA USAFI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MADIWANI WA MANISPAA YA LINDI WAFANYA ZIARA DAR,WAIMWAGIA SIFA MANISPAA YA ILALA KWA USAFI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/madiwani-wa-manispaa-ya-lindi-wafanya.html
0 Response to "MADIWANI WA MANISPAA YA LINDI WAFANYA ZIARA DAR,WAIMWAGIA SIFA MANISPAA YA ILALA KWA USAFI"
Post a Comment