Loading...
title : MAKAMPUNI 380 KUONESHA BIDHAA ZAO KATIKA MAONESHO MAKUBWA YA KIMAITAFA UTALII YA KARIBU KILIFAIR MJINI MOSHI
link : MAKAMPUNI 380 KUONESHA BIDHAA ZAO KATIKA MAONESHO MAKUBWA YA KIMAITAFA UTALII YA KARIBU KILIFAIR MJINI MOSHI
MAKAMPUNI 380 KUONESHA BIDHAA ZAO KATIKA MAONESHO MAKUBWA YA KIMAITAFA UTALII YA KARIBU KILIFAIR MJINI MOSHI

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Kanda ya Kaskazini .
MAKAMPUNI 380 yanayojishughulisha na Utalii yanataraji kushiriki Maonesho ya Kimataifa ya Karibu Kilifair huku kampuni ya Kilifair Ltd inayoratibu maonesho hayo ikitangaza kuandaa safari za kifamilia zitakazoshirikisha watu kutoka nchi mbalimbali Duniani kujionea vuvitio vya utalii kwa lengo la kuvitangaza kimataifa.
Maonesho ya kimataifa ya Utalii yaliyopewa jina la Karibu Kilifair yanafanyika kwa mwaka wan ne sasa yakiwakutanisha wadau mbalimbali wa sekta ya Utalii wa Tanzania na nje ya nchi ,kwa lengo la kutangaza bidhaa mbalimbali za Utalii ikiwemo vivutio mbalimbali.
Kwa mara ya kwanza Kampuni ya Kilimanjaro SIR inayojishughulisha na ukoaji wa wageni waliopata matatizo katika maeneo yenye miinuko kama Mlima Kilimanjaro na Meru inataraji kushiriki katika maonesho hayo huku Shirika la ndege la Ethiopian Airlines likitangaza kutumia maonesho hayo kutangaza vivutio vya Utalii kwa wageni watakaosafiri na ndege wa shirika hilo.
Maonesho ya Karibu Kilifair yanayoratibiwa na Kampuni ya Kilifair Ltd awali yalijukiana kama Kilifair yakidhaminiwa na Kampuni mbalimbali za ndani na nje ya nchi .




Hivyo makala MAKAMPUNI 380 KUONESHA BIDHAA ZAO KATIKA MAONESHO MAKUBWA YA KIMAITAFA UTALII YA KARIBU KILIFAIR MJINI MOSHI
yaani makala yote MAKAMPUNI 380 KUONESHA BIDHAA ZAO KATIKA MAONESHO MAKUBWA YA KIMAITAFA UTALII YA KARIBU KILIFAIR MJINI MOSHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMPUNI 380 KUONESHA BIDHAA ZAO KATIKA MAONESHO MAKUBWA YA KIMAITAFA UTALII YA KARIBU KILIFAIR MJINI MOSHI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/makampuni-380-kuonesha-bidhaa-zao.html
0 Response to "MAKAMPUNI 380 KUONESHA BIDHAA ZAO KATIKA MAONESHO MAKUBWA YA KIMAITAFA UTALII YA KARIBU KILIFAIR MJINI MOSHI"
Post a Comment