Loading...
title : MAMA JANETH MAGUFULI ATOA MSAADA WA VYAKULA KWA WAFUNGWA WANAWAKE NA WATOTO WALIOKO GEREZA LA SEGEREA
link : MAMA JANETH MAGUFULI ATOA MSAADA WA VYAKULA KWA WAFUNGWA WANAWAKE NA WATOTO WALIOKO GEREZA LA SEGEREA
MAMA JANETH MAGUFULI ATOA MSAADA WA VYAKULA KWA WAFUNGWA WANAWAKE NA WATOTO WALIOKO GEREZA LA SEGEREA
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiongea kabla ya kukabidhi vyakula kwa ajili ya wafungwa wanawake na watoto waliko katika gereza la Segerea jijini Dar es salaam katika haflka fupi iliyofanyika ofisini kwake leo Mei 18, 2018. Wanaomsikilia ni Kaimu Kamishna Mkuu wa Magereza Gaston Kalam Sanga, Mkuu wa Magereza Mkoa wa Dar es salaam Naibu Kamishna wa Magereza Augustino Mboje na Mkuu wa Gereza la segerea Kamishna Msaidizi wa Magereza Widson Mandarasi Mwanangwe. Msaada huo ni pamoja na tani 4.8 za mchele, tani 4.8 za Unga wa mahindi, tani 2.8 za sukari pamoja na tende
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimkabidhi Kaimu Kamishna Mkuu wa Magereza Gaston Kalam Sanga vyakula kwa ajili ya wafungwa wanawake na watoto waliko katika gereza la Segerea jijini Dar es salaam katika haflka fupi iliyofanyika ofisini kwake leo Mei 18, 2018. wanaoshuhudia ni Mkuu wa Magereza Mkoa wa Dar es salaam Naibu Kamishna wa Magereza Augustino Mboje na Mkuu wa Gereza la segerea Kamishna Msaidizi wa Magereza Widson Mandarasi Mwanangwe.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimsikiliza Kaimu Kamishna Mkuu wa Magereza Gaston Kalam Sanga akishukuru baada ya kumkabidhi vyakula kwa ajili ya wafungwa wanawake na watoto waliko katika gereza la Segerea jijini Dar es salaam katika haflka fupi iliyofanyika ofisini kwake leo Mei 18, 2018. wanaoshuhudia ni Mkuu wa Magereza Mkoa wa Dar es salaam Naibu Kamishna wa Magereza Augustino Mboje na Mkuu wa Gereza la segerea Kamishna Msaidizi wa Magereza Widsob Mandarasi Mwanangwe.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Kaimu Kamishna Mkuu wa Magereza Gaston Kalam Sanga na askari wengine waliofika kupokea vyakula kwa ajili ya wafungwa wanawake na watoto waliko katika gereza la Segerea jijini Dar es salaam katika haflka fupi iliyofanyika ofisini kwake leo Mei 18, 2018.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiagana na Kaimu Kamishna Mkuu wa Magereza Gaston Kalam Sanga baada ya kukabidhi vyakula kwa ajili ya wafungwa wanawake na watoto waliko katika gereza la Segerea jijini Dar es salaam katika haflka fupi iliyofanyika ofisini kwake leo Mei 18, 2018.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiongea na Kaimu Kamishna Mkuu wa Magereza Gaston Kalam Sanga, Mkuu wa Magereza Mkoa wa Dar es salaam Naibu Kamishna wa Magereza Augustino Mboje na Mkuu wa Gereza la segerea Kamishna Msaidizi wa Magereza Widsob Mandarasi Mwanangwe, baada ya kumkabidhi vyakula kwa ajili ya wafungwa wanawake na watoto waliko katika gereza la Segerea jijini Dar es salaam katika haflka fupi iliyofanyika ofisini kwake leo Mei 18, 2018.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa katika picha ya kumbukumbu na asklari wanawake waliofika kupokea vyakula kwa ajili ya wafungwa wanawake na watoto waliko katika gereza la Segerea jijini Dar es salaam katika haflka fupi iliyofanyika ofisini kwake leo Mei 18, 2018.
Picha na IKULU
Hivyo makala MAMA JANETH MAGUFULI ATOA MSAADA WA VYAKULA KWA WAFUNGWA WANAWAKE NA WATOTO WALIOKO GEREZA LA SEGEREA
yaani makala yote MAMA JANETH MAGUFULI ATOA MSAADA WA VYAKULA KWA WAFUNGWA WANAWAKE NA WATOTO WALIOKO GEREZA LA SEGEREA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAMA JANETH MAGUFULI ATOA MSAADA WA VYAKULA KWA WAFUNGWA WANAWAKE NA WATOTO WALIOKO GEREZA LA SEGEREA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/mama-janeth-magufuli-atoa-msaada-wa.html
0 Response to "MAMA JANETH MAGUFULI ATOA MSAADA WA VYAKULA KWA WAFUNGWA WANAWAKE NA WATOTO WALIOKO GEREZA LA SEGEREA"
Post a Comment