Loading...

Mashabiki wa Chelsea walikuwa wazuri sana - Mourinho

Loading...
Mashabiki wa Chelsea walikuwa wazuri sana - Mourinho - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mashabiki wa Chelsea walikuwa wazuri sana - Mourinho, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mashabiki wa Chelsea walikuwa wazuri sana - Mourinho
link : Mashabiki wa Chelsea walikuwa wazuri sana - Mourinho

soma pia


Mashabiki wa Chelsea walikuwa wazuri sana - Mourinho

Mourinho alipoulizwa kuhusu heshima kati yake na mashabiki wa Chelsea, alisema: "Kitu pekee ninaweza kusema kuhusu mashabiki wa Chelsea ni kwmaba tangu siku yangu ya kwanza 2004 hadi siku ya mwisho nilipofutwa miaka kadha iliyopita, waliniunga mkono kikamilifu," alisema Mourinho, 55, aliyeshinda vikombe vinane akiwa Stamford Bridge.
"Waliniunga mkono kila siku. Waliniunga mkono kila mechi, waliniunga mkono haa siku nilipofutwa - mara mbili, moja 2008 na miaka kadha iliyopita.
"Hilo sitalisahau kamwe kwa sababu walifanya kile ambacho ninaamini mashabiki wazuri hufanya, ambacho ni kumuunga mkono meneja wao hadi siku ya mwisho.
"Kuhusu mashabiki wa Chelsea, hilo sisahau: walikuwa wazuri sana."
Mourinho ndiye meneja aliyefanikiwa zaidi Chelsea baada ya kushinda mataji matatu vipindi viwili alivyokuwa Stamford Bridge mwaka 2005, 2006 na 2015.


Hivyo makala Mashabiki wa Chelsea walikuwa wazuri sana - Mourinho

yaani makala yote Mashabiki wa Chelsea walikuwa wazuri sana - Mourinho Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mashabiki wa Chelsea walikuwa wazuri sana - Mourinho mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/mashabiki-wa-chelsea-walikuwa-wazuri.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mashabiki wa Chelsea walikuwa wazuri sana - Mourinho"

Post a Comment

Loading...