Loading...

Matukio : Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge watembelea mradi wa ILMIS na Majengo ya NHC Victoria na Morocco

Loading...
Matukio : Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge watembelea mradi wa ILMIS na Majengo ya NHC Victoria na Morocco - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge watembelea mradi wa ILMIS na Majengo ya NHC Victoria na Morocco, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio : Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge watembelea mradi wa ILMIS na Majengo ya NHC Victoria na Morocco
link : Matukio : Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge watembelea mradi wa ILMIS na Majengo ya NHC Victoria na Morocco

soma pia


Matukio : Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge watembelea mradi wa ILMIS na Majengo ya NHC Victoria na Morocco



Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akionyesha Faili lenye viambatanisho vya hati moja katika chumba cha kubadilisha hati za kawaida kwenda Dijitali kinachosimamiwa na mradi wa ILMIS, ambapo kwa sasa mtu ataweza kupata hati yake kupita mtandao na akihitaji karatasi atapata moja amabyo itakuwa na viambatanisho vyote.

Msajili wa Hati kutoka Wizara ya Ardhi, Joanitha Kazinja akitoa maelezo kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi na Maliasili, Nape Nnauye wakati walipotembelea chumba cha kubadilishia Nyaraka cha Mradi wa ILMIS.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi na Maliasili, Nape Nnauye Akizungumza wakati wa kikao cha Majumuisho ya ziara ya kutmebelea Miradi ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na Mradi wa ILMIS Unaotekelezwa na Wizara ya Ardhi.

Mtaalamu wa Maluala ya bacode Katika mradi wa ILMIS Cristina Selaru akitoa maelezo kwa Kamati ya kudumu ya Bunge Ardhi na Maliasili jinsi mfumo huo utakavyokuw aunafanya kazi kumsaidia mtu kujua taharifa zake zote.

Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Ardhi na Maliasili na Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Njombe, Neema Mgaya akitizama jinsi wafanyakazi wa Mradi wa ELMIS wakijaza baadhi ya nyarak katika mtandao.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi na Maliasili, Nape Nnauye akizungumza jambo na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi mara baada ya kutembelea mradi wa Victoria unaotekelezwa na Shirika la Nyumba la Taifa NHC.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi na Maliasili, Nape Nnauyeakiongoza kikao cha Kamati.

Mkurugenzi wa Mfumo wa TEHAMA Wizara ya Ardhi na Kodineta wa ILMIS , Dk Shabani Pazi Akitoa Maelezo juu mradi huo.

Mhandisi Msimamizi wa Mradi wa ILMIS,Carol Roffer akieleza jambo kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge walipotembelea kuona mafanikio ya Mradi huo unatoekelzwa na Wizara ya Ardhi.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge wakipanda kwenye gari kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa NHC.


Hivyo makala Matukio : Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge watembelea mradi wa ILMIS na Majengo ya NHC Victoria na Morocco

yaani makala yote Matukio : Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge watembelea mradi wa ILMIS na Majengo ya NHC Victoria na Morocco Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge watembelea mradi wa ILMIS na Majengo ya NHC Victoria na Morocco mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/matukio-wajumbe-wa-kamati-ya-kudumu-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Matukio : Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge watembelea mradi wa ILMIS na Majengo ya NHC Victoria na Morocco"

Post a Comment

Loading...