Loading...

Miundombinu : Rais Dk. Magufuli azindua Barabara na Kufungua Kiwanda

Loading...
Miundombinu : Rais Dk. Magufuli azindua Barabara na Kufungua Kiwanda - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Miundombinu : Rais Dk. Magufuli azindua Barabara na Kufungua Kiwanda, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Miundombinu : Rais Dk. Magufuli azindua Barabara na Kufungua Kiwanda
link : Miundombinu : Rais Dk. Magufuli azindua Barabara na Kufungua Kiwanda

soma pia


Miundombinu : Rais Dk. Magufuli azindua Barabara na Kufungua Kiwanda







Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizindua rasmi kiwanda cha kuzalisha vifaranga na chakula cha kuku cha Silverland kilichopo Ihemi nje kidogo ya mji wa Iringa leo Alhamisi Mei 3, 2018.



Rais Dkt. John Pombe Magufuli akitembezwa sehemu mbalimbali baada ya kuzindua rasmi kiwanda cha kuzalisha vifaranga na chakula cha kuku cha Silverland kilichopo Ihemi nje kidogo ya mji wa Iringa leo Alhamisi Mei 3, 2018.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Amina Msenza alipowasili eneo la Ihema kuzindua barabara ya Iyovi-Iringa-Mafinga mkoani Iringa leo Alhamisi Mei 3, 2018. Kulia ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa na kulia kwa Rais ni Mama Janeth Magufuli.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Naibu Balozi wa Denmark nchini Mhe. Camilla Christensen wenye sherehe za uzinduzi wa barabara ya Iyovi-Iringa-Mafinga eneo la Ihema mkoani Iringa leo Alhamisi Mei 3, 2018.


Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Naibu Balozi wa Denmark nchini Mhe. Camilla Christensen na viongozi wengine wakizindua barabara ya Iyovi-Iringa-Mafinga eneo la Ihema mkoani Iringa leo Alhamisi Mei 3, 2018.


Rais Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na uongozi wa kiwanda cha kuzalisha vifaranga na chakula cha kuku cha Silverland kilichopo Ihemi nje kidogo ya mji wa Iringa kabla ya kukizindua rasmi leo Alhamisi Mei 3, 2018.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa SAGCOT Bw. Geoffrey Kirenga alipowasili katika kiwanda cha kuzalisha vifaranga na chakula cha kuku cha Silverland kilichopo Ihemi nje kidogo ya mji wa Iringa kabla ya kukizindua rasmi leo Alhamisi Mei 3, 2018

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa SAGCOT Bw. Geoffrey Kirenga alipowasili katika kiwanda cha kuzalisha vifaranga na chakula cha kuku cha Silverland kilichopo Ihemi nje kidogo ya mji wa Iringa kabla ya kukizindua rasmi leo Alhamisi Mei 3, 2018

Picha na IKULU


Hivyo makala Miundombinu : Rais Dk. Magufuli azindua Barabara na Kufungua Kiwanda

yaani makala yote Miundombinu : Rais Dk. Magufuli azindua Barabara na Kufungua Kiwanda Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Miundombinu : Rais Dk. Magufuli azindua Barabara na Kufungua Kiwanda mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/miundombinu-rais-dk-magufuli-azindua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Miundombinu : Rais Dk. Magufuli azindua Barabara na Kufungua Kiwanda"

Post a Comment

Loading...