Loading...

MKUTANO MKUU WA 23 WA BENKI YA CRDB WAFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA, WANAHISA WAMUOMBA DKT. KIMEI KUENDELEA KUBAKI

Loading...
MKUTANO MKUU WA 23 WA BENKI YA CRDB WAFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA, WANAHISA WAMUOMBA DKT. KIMEI KUENDELEA KUBAKI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKUTANO MKUU WA 23 WA BENKI YA CRDB WAFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA, WANAHISA WAMUOMBA DKT. KIMEI KUENDELEA KUBAKI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKUTANO MKUU WA 23 WA BENKI YA CRDB WAFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA, WANAHISA WAMUOMBA DKT. KIMEI KUENDELEA KUBAKI
link : MKUTANO MKUU WA 23 WA BENKI YA CRDB WAFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA, WANAHISA WAMUOMBA DKT. KIMEI KUENDELEA KUBAKI

soma pia


MKUTANO MKUU WA 23 WA BENKI YA CRDB WAFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA, WANAHISA WAMUOMBA DKT. KIMEI KUENDELEA KUBAKI

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei akizungumza wakati akitoa taarifa ya Benki kwa Wanahisa wa Benki hiyo, katika Mkutano Mkuu wa 23 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB, unaofanyika kwenye Ukumbi wa Simba uliopo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa (AICC), jijini Arusha leo Mei 19, 2018. Katika Mkutano huo, Sehemu kubwa ya wajumbe wamemuomba Mkurugenzi Mkuu wa Benki hiyo,  Dkt. Charles Kimei kuendelea kuitumikia nafasi yake hiyo, ya kuingoza benki hiyo kwa miaka mingine mitano. 

Hatua hiyo ilifikia pindi, Dkt. Kimei alipowajulisha wanahisa hao wakati alipokuwa akitoa hotuba ya mwenendo wa benki, kuwa kwenye mkutano mkuu ujao, atawaaga rasmi baada ya kumaliza muda wake wa kuitumia Benki hiyo.

Kwenye michango yao, baadhi ya wanahisa hao walisema hiki ni kipindi kigumu kiuchumi hivyo CRDB inahitaji mtu mwenye uzoefu wa kutosha kukabiliana na changamoto zilizopo. Mmoja wa wanahisa hao, Emburis Sirikwa wa Arusha alisema endapo mkurugenzi huyo ataondoka na kuiacha benki hiyo, ndani ya miaka miwili ya kutokuwanaye lazima ufanisi utapungua.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB, Ally Laay akizunguza katika Mkutano Mkuu wa 23 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB, unaofanyika kwenye Ukumbi wa Simba uliopo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa (AICC), jijini Arusha leo Mei 19, 2018. 
Mwenyekiti wa Mkutano Mkuu wa 23 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB, Abeid Mwasajone akizungumza jambo kwa wajumbe wa Mkutano huo, unaofanyika leo Mei 19, 2018 kwenye Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha.
 Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 23 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB, wakiwa kwenye Mkutano huo, unaofanyika hivi sasa kwenye Ukumbi wa Simba wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa (AICC), jijini Arusha leo Mei 19, 2018.
Katibu wa Benki ya CRDB na Mkurugenzi wa Maswala ya Kampuni, John Rugambo akizungumza wakati akifungua Mkutano Mkuu wa 23 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB, unaofanyika hivi sasa kwenye Ukumbi wa Simba wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa (AICC), jijini Arusha leo Mei 19, 2018.
Sehemu ya Wanahisa wa Benki ya CRDB wakichangia mada mbalimbali zinazoendelea kutolewa katika Mkutano Mkuu wa 23 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB, unaofanyika hivi sasa kwenye Ukumbi wa Simba wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa (AICC), jijini Arusha leo Mei 19, 2018.
Mtangazaji wa zamani wa Radio Tanzania na Mwanahisa wa Benki ya CRDB, Mzee Salim Mbonde akichangia mada katika Mkutano Mkuu wa 23 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB, unaofanyika hivi sasa kwenye Ukumbi wa Simba wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa (AICC), jijini Arusha leo Mei 19, 2018.



Hivyo makala MKUTANO MKUU WA 23 WA BENKI YA CRDB WAFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA, WANAHISA WAMUOMBA DKT. KIMEI KUENDELEA KUBAKI

yaani makala yote MKUTANO MKUU WA 23 WA BENKI YA CRDB WAFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA, WANAHISA WAMUOMBA DKT. KIMEI KUENDELEA KUBAKI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKUTANO MKUU WA 23 WA BENKI YA CRDB WAFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA, WANAHISA WAMUOMBA DKT. KIMEI KUENDELEA KUBAKI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/mkutano-mkuu-wa-23-wa-benki-ya-crdb.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MKUTANO MKUU WA 23 WA BENKI YA CRDB WAFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA, WANAHISA WAMUOMBA DKT. KIMEI KUENDELEA KUBAKI"

Post a Comment

Loading...