Loading...

Mkutano wa Baraza la Wawakilishi Ukiendelea na Michango ya Kuchangia Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.

Loading...
Mkutano wa Baraza la Wawakilishi Ukiendelea na Michango ya Kuchangia Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mkutano wa Baraza la Wawakilishi Ukiendelea na Michango ya Kuchangia Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mkutano wa Baraza la Wawakilishi Ukiendelea na Michango ya Kuchangia Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.
link : Mkutano wa Baraza la Wawakilishi Ukiendelea na Michango ya Kuchangia Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.

soma pia


Mkutano wa Baraza la Wawakilishi Ukiendelea na Michango ya Kuchangia Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.

Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Mwanaasha akiongoza Mkutano wa Kumi wa Baraza la Tisa la Wawakilishi Zanzibar wakati Wajumbe wa Baraza wakichangia Hutuba ya Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.
Waheshimiwa Mawaziri wakifuatilia Michango ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakati wakichangia Hutuba ya Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.wakiwa katika ukumbi wa mkutano wa Baraza Chukwani Zanzibar.
Mwakilishi wa Jimbo la Shauri Moyo Zanzibar Mhe. Hamza Hassan Juma akichangia Hutuba ya Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar iliowasilishwa jana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kwa wajumbe wa Baraza. 


Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae Zanzibar Mhe. Mohammed Said Dimwa akichangia Hutuba ya Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar iliowasilishwa jana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kwa wajumbe wa Baraza. Akinukuu vifungu vya Ilani ya CCM wakati akichangia bajeti.,









Hivyo makala Mkutano wa Baraza la Wawakilishi Ukiendelea na Michango ya Kuchangia Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.

yaani makala yote Mkutano wa Baraza la Wawakilishi Ukiendelea na Michango ya Kuchangia Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mkutano wa Baraza la Wawakilishi Ukiendelea na Michango ya Kuchangia Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/mkutano-wa-baraza-la-wawakilishi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mkutano wa Baraza la Wawakilishi Ukiendelea na Michango ya Kuchangia Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar."

Post a Comment

Loading...