MUFTI MKUU WA TANZANIA MASHINDANO YA QURAN YAMELETAHESHIMA KUBWA " - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MUFTI MKUU WA TANZANIA MASHINDANO YA QURAN YAMELETAHESHIMA KUBWA ", tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
MUFTI MKUU WA TANZANIA MASHINDANO YA QURAN YAMELETAHESHIMA KUBWA "link :
MUFTI MKUU WA TANZANIA MASHINDANO YA QURAN YAMELETAHESHIMA KUBWA "
MUFTI MKUU WA TANZANIA MASHINDANO YA QURAN YAMELETAHESHIMA KUBWA "
Mwambawahabari
Na. John Luhende
Mufti mkuu wa Tanzania Shekh Abubakari Zubeiry bin-Ally amewataka Waislam nchini kudumisha amani na kujengaumoja na ushirikiano kama mwenyezi Mungu alivyo agiza katika kitambulisho kitu kufungua cha Quran.
Mufti Zubeiry amesema hayo leo katika mkutano mkubwa wa mashindano ya 19 ya kuhifadhi Quran Tukufu ya Africa yanayo fanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambayo yameandaliwa na taasisi ya AL-HIKIMA FOUNDATION.
Kwaupande wake Waziri w Dini kutoka Saudia Arabian, Dr Saleh bin Mohamad bin Abdullah Azizi
Alshekh Saudia Arabian amesema kufanyika kwa mashindano haya ni siku muhimu Sana na kushukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoa Uhuru kwa dini kufanya mambo yake bila kipingamizi na kusema kuwa Saudia itaendelea kuwapa nguvu Swalsun kupambana na makundi Matovu.
Aidha amesema Saudia itasaidia Kupambana na kuendeleza na kueneza dini ya mwenyezi Mungu Duniani na kutaka umma wa kisasa kushirikiana na kuungana na wanazuia ilikuwa na tamko moja katika kueneza dini ili amani ienee Duniani kote.
11mwezi wa 6 waliomba kupewa enoeprot 116 kupewa eneo hilo taasisi ya AL-HIKIMA na wameshukuru kwa kupewa kwa eneo hilo Mama Mpetula kutoka wizara ya Ardhi amekwamisha kupatikana kwa eneo hilo.
Kutokana suala hilo kusemwa hadharani mbele ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa , Mkuu wa wa Wilaya ya Temeke Mhe. Felix Lyaniva ameahidi kulifuatilia suala hilo ili Waislam waweze kupewa eneo hilo.
Hivyo makala MUFTI MKUU WA TANZANIA MASHINDANO YA QURAN YAMELETAHESHIMA KUBWA "
yaani makala yote MUFTI MKUU WA TANZANIA MASHINDANO YA QURAN YAMELETAHESHIMA KUBWA " Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MUFTI MKUU WA TANZANIA MASHINDANO YA QURAN YAMELETAHESHIMA KUBWA " mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/mufti-mkuu-wa-tanzania-mashindano-ya.html
0 Response to "MUFTI MKUU WA TANZANIA MASHINDANO YA QURAN YAMELETAHESHIMA KUBWA ""
Post a Comment