Loading...

NAIBU WAZIRI WA MICHEZO AZINDUA MASHINDANO YA AWESO CUP,MURO NA MANARA WANOGESHA KUWAONGOZA MASHABIKI WA SIMBA VS YANGA

Loading...
NAIBU WAZIRI WA MICHEZO AZINDUA MASHINDANO YA AWESO CUP,MURO NA MANARA WANOGESHA KUWAONGOZA MASHABIKI WA SIMBA VS YANGA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU WAZIRI WA MICHEZO AZINDUA MASHINDANO YA AWESO CUP,MURO NA MANARA WANOGESHA KUWAONGOZA MASHABIKI WA SIMBA VS YANGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU WAZIRI WA MICHEZO AZINDUA MASHINDANO YA AWESO CUP,MURO NA MANARA WANOGESHA KUWAONGOZA MASHABIKI WA SIMBA VS YANGA
link : NAIBU WAZIRI WA MICHEZO AZINDUA MASHINDANO YA AWESO CUP,MURO NA MANARA WANOGESHA KUWAONGOZA MASHABIKI WA SIMBA VS YANGA

soma pia


NAIBU WAZIRI WA MICHEZO AZINDUA MASHINDANO YA AWESO CUP,MURO NA MANARA WANOGESHA KUWAONGOZA MASHABIKI WA SIMBA VS YANGA


PIC 01
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akikagua wachezaji wa timu ya  Mashabiki wa Yanga muda mfupi kabla ya kuanza kwa mchezo wa ufunguzi wa mashindano ya Aweso Cup kati ya timu ya mashabiki wa Yanga na timu ya mashabiki wa Simba leo mjini Pangani.
PIC 02
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (wapili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya  mashabiki wa Simba muda mfupi kabla ya kuanza kwa mchezo wa ufunguzi wa Mashindano ya Aweso Cup kati ya timu ya Mashabiki wa Yanga na timu ya Mashabiki wa Simba leo mjini Pangani. Kushoto kwake ni Msemaji wa Timu ya Simba Bw. Haji Manara na Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Jumaa Aweso.
PIC 03
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (kushoto) akifurahia jambo na Msemaji wa Timu ya Simba Bw. Haji Manara wakati wa mchezo wa ufunguzi wa Mashindano ya Aweso Cup kati ya timu ya Mashabiki wa Yanga na Timu ya Mashabiki wa Simba leo mjini Pangani. Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Pangani Bi. Zainabu Abdallah.
PIC 04
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (kushoto) akisalimiana na aliyewahi kuwa Msemaji wa Timu ya Yanga Bw. Jerry Muro wakati wa mchezo wa ufunguzi wa Mashindano ya Aweso Cup kati ya timu ya Mashabiki wa Yanga na Timu ya Mashabiki wa Simba leo mjini Pangani. Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Pangani Bi. Zainabu Abdallah.
PIC 05
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akizungumza na waandishin wa Habari muda mfupi kabala ya kuanza kwa  mchezo wa ufunguzi wa mashindano ya Aweso Cup kati ya timu ya Mashabiki wa Yanga na Timu ya Mashabiki wa Simba leo mjini Pangani. Kulia kwake ni Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Jumaa Aweso ambaye ni mdhamini wa mashindano hayo.
PIC 06
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akipokea fedha taslimu shilingi milioni moja kutoka kwa Bw. Romanus Mkonda Muhifadhi Ujirani Mwema wa Hifadhi ya Taifa ya Saadani kama mchango kwa ajili ya mashindano ya Aweso Cup.Kulia kwake Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Jumaa Aweso na kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Pangani Bi. Zainabu Abdallah wakishuhudia tukio hilo leo mjini Pangani.
PICHA ZOTE NA:OCTAVIAN Kimario
WHUSM


Hivyo makala NAIBU WAZIRI WA MICHEZO AZINDUA MASHINDANO YA AWESO CUP,MURO NA MANARA WANOGESHA KUWAONGOZA MASHABIKI WA SIMBA VS YANGA

yaani makala yote NAIBU WAZIRI WA MICHEZO AZINDUA MASHINDANO YA AWESO CUP,MURO NA MANARA WANOGESHA KUWAONGOZA MASHABIKI WA SIMBA VS YANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI WA MICHEZO AZINDUA MASHINDANO YA AWESO CUP,MURO NA MANARA WANOGESHA KUWAONGOZA MASHABIKI WA SIMBA VS YANGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/naibu-waziri-wa-michezo-azindua.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NAIBU WAZIRI WA MICHEZO AZINDUA MASHINDANO YA AWESO CUP,MURO NA MANARA WANOGESHA KUWAONGOZA MASHABIKI WA SIMBA VS YANGA"

Post a Comment

Loading...