Loading...
title : NEWS ALERT: CHINA YAIPIGA JEKI TANZANIA YA BILIONI 146.47 KWA UJENZI WA CHUO KIKUU CHA USAFIRI NA KUENDELEZA UJENZI WA RELI YA STANDARD GAUGE
link : NEWS ALERT: CHINA YAIPIGA JEKI TANZANIA YA BILIONI 146.47 KWA UJENZI WA CHUO KIKUU CHA USAFIRI NA KUENDELEZA UJENZI WA RELI YA STANDARD GAUGE
NEWS ALERT: CHINA YAIPIGA JEKI TANZANIA YA BILIONI 146.47 KWA UJENZI WA CHUO KIKUU CHA USAFIRI NA KUENDELEZA UJENZI WA RELI YA STANDARD GAUGE
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto James na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Mhe. Wang Ke wakitia saini mkataba wa msaada wa kifedha ambapo serikali ya China itaisaidia Tanzania jumla ya shilingi Bilioni 146.47 kwa ajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Usafiri pamoja na kuendeleza ujenzi wa reli ya kisasa ya Standard gauge. Hafla hii fupi imefanyika Ofisi za hazina jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto James na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Mhe. wang Ke wakibadilishana mikataba baada ya kuitia saini makubaliano ambapo serikali ya China itaisaidia Tanzania jumla ya shilingi Bilioni 146.47 kwa ajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Usafiri pamoja na kuendeleza ujenzi wa reli ya kisasa ya Standard gauge. Hafla hii fupi imefanyika Ofisi za hazina jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto James akiagana na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Mhe. Wang Ke baada ya wawili hao kutia saini kwa niaba ya nchi zao wa mkataba wa msaada wa kifedha ambapo serikali ya China itaisaidia Tanzania jumla ya shilingi Bilioni 146.47 kwa ajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Usafiri pamoja na kuendeleza ujenzi wa reli ya kisasa ya Standard gauge. Hafla hii fupi imefanyika Ofisi za hazina jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018. Picha na IKULU
Hivyo makala NEWS ALERT: CHINA YAIPIGA JEKI TANZANIA YA BILIONI 146.47 KWA UJENZI WA CHUO KIKUU CHA USAFIRI NA KUENDELEZA UJENZI WA RELI YA STANDARD GAUGE
yaani makala yote NEWS ALERT: CHINA YAIPIGA JEKI TANZANIA YA BILIONI 146.47 KWA UJENZI WA CHUO KIKUU CHA USAFIRI NA KUENDELEZA UJENZI WA RELI YA STANDARD GAUGE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NEWS ALERT: CHINA YAIPIGA JEKI TANZANIA YA BILIONI 146.47 KWA UJENZI WA CHUO KIKUU CHA USAFIRI NA KUENDELEZA UJENZI WA RELI YA STANDARD GAUGE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/news-alert-china-yaipiga-jeki-tanzania.html
0 Response to "NEWS ALERT: CHINA YAIPIGA JEKI TANZANIA YA BILIONI 146.47 KWA UJENZI WA CHUO KIKUU CHA USAFIRI NA KUENDELEZA UJENZI WA RELI YA STANDARD GAUGE"
Post a Comment