Loading...
title : Nsajigwa,Pondamali kukalia kuti kavu
link : Nsajigwa,Pondamali kukalia kuti kavu
Nsajigwa,Pondamali kukalia kuti kavu
Na Agness Francis, Blogu ya Jamii.
KIKOSI cha Timu ya Yanga kufanya mabadiliko ya bechi la ufundi kwa baadhi ya makocha.
Ambapo Kocha msaidizi wa kikosi hicho Shadrack Nsajigwa pamoja na kocha wa makipa Juma Pondamali ndio watakao ondolewa na kuongezwa wengine.
Huku wakibaki Mwinyi Zahera, Pamoja na Noeli Mwandila katika benchi hilo la ufundi.
Akiongezeka Kocha wa Kagera Sugar Meck Mexime huku nafasi ya Juma Pondamali ikichukuliwa na Razack Siwa ambaye ni raia wa Nchini Kenya.
Baada ya Kikosi hicho kutokufanya vizuri katika msimu huu uliofikia Tamati jana Mei 28 Ligi kuu Vodacom Tanzania Bara.
Ambapo msimu huu umemlizika vibaya kwa upande wao kwa kushika nafasi ya 3 wakiwa na alama 52 Azam wakiwatangulia mbele kwa pointi 6 na kushika nafasi ya Pili,Huku Mabingwa wapya wa ligi hiyo Simba Sc wakiwa mbele kwa alama 69.
Hivyo makala Nsajigwa,Pondamali kukalia kuti kavu
yaani makala yote Nsajigwa,Pondamali kukalia kuti kavu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Nsajigwa,Pondamali kukalia kuti kavu mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/nsajigwapondamali-kukalia-kuti-kavu.html
0 Response to "Nsajigwa,Pondamali kukalia kuti kavu"
Post a Comment