Loading...
title : RAIS DKT. MAGUFULI ASALI IBADA YA JUMAPILI DOMINIKA YA SHEREHE YA PENTEKOSTE,KANISA LA MTAKATIFU PETRO PAROKIA YA OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM.
link : RAIS DKT. MAGUFULI ASALI IBADA YA JUMAPILI DOMINIKA YA SHEREHE YA PENTEKOSTE,KANISA LA MTAKATIFU PETRO PAROKIA YA OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM.
RAIS DKT. MAGUFULI ASALI IBADA YA JUMAPILI DOMINIKA YA SHEREHE YA PENTEKOSTE,KANISA LA MTAKATIFU PETRO PAROKIA YA OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Ibada ya jumapili Dominika ya sherehe ya Pentekoste liyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam.Mei 20,2018.
Paroko msaidizi wa parokia ya Osterrbay Padre Asis Mendokta akiongoza ibada ambayo pia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amehudhuria Ibada hiyo ya Dominika ya sherehe ya Pentekoste liyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam.Mei 20,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mkono wa Amani na wanafunzi waumini alijumuika na waumini wengine kusali Ibada ya jumapili Dominika ya sherehe ya Pentekoste liyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam.Mei 20,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Ibada ya jumapili Dominika ya sherehe ya Pentekoste liyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam.Mei 20,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Paroko msaidizi Padre Asis Mendokta mara baada ya kushiriki Ibada ya jumapili Dominika ya sherehe ya Pentekoste liyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam.Mei 20,2018.PICHA NA IKULU
Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI ASALI IBADA YA JUMAPILI DOMINIKA YA SHEREHE YA PENTEKOSTE,KANISA LA MTAKATIFU PETRO PAROKIA YA OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM.
yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI ASALI IBADA YA JUMAPILI DOMINIKA YA SHEREHE YA PENTEKOSTE,KANISA LA MTAKATIFU PETRO PAROKIA YA OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI ASALI IBADA YA JUMAPILI DOMINIKA YA SHEREHE YA PENTEKOSTE,KANISA LA MTAKATIFU PETRO PAROKIA YA OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/rais-dkt-magufuli-asali-ibada-ya.html
0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI ASALI IBADA YA JUMAPILI DOMINIKA YA SHEREHE YA PENTEKOSTE,KANISA LA MTAKATIFU PETRO PAROKIA YA OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM."
Post a Comment