Loading...

RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA KILIMO CHA SOKOINE MOROGORO

Loading...
RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA KILIMO CHA SOKOINE MOROGORO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA KILIMO CHA SOKOINE MOROGORO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA KILIMO CHA SOKOINE MOROGORO
link : RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA KILIMO CHA SOKOINE MOROGORO

soma pia


RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA KILIMO CHA SOKOINE MOROGORO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Magezera mkoa wa Morogoro Kamishna Msaidizi wa magereza Mwandamizi (SACP) Mzee ramadhani Nyamka alipowasili Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) mkoani Morogoro kukutana na wafanyakazi na wanafunzi pamoja na wadau wa chuo leo Mei 7, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Magezera mkoa wa Morogoro Kamishna Msaidizi wa magereza Mwandamizi (SACP) Mzee ramadhani Nyamka alipowasili Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) mkoani Morogoro kukutana na wafanyakazi na wanafunzi pamoja na wadau wa chuo leo Mei 7, 2018.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia jumuiya ya Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) mkoani Morogoro alipofika na kukutana na wafanyakazi na wanafunzi pamoja na wadau wa chuo hicho leo Mei 7, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikaribisha maswali, maoni na ushauri toka kwa  jumuiya ya Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) mkoani Morogoro alipofika na kukutana na wafanyakazi na wanafunzi pamoja na wadau wa chuo hicho leo Mei 7, 2018. Wengine toka kulia ni Mama Janeth Magufuli, Makamu Mkuu wa SUA Profesa  Raphael Tihelwa Chibunda,  Waziri wa elimu,sayansi,na teknolojia na ufundi Profesa Joyce Ndalichako na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza kwa taarifa nzuri Makamu Mkuu wa  Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) Profesa Raphael Tihelwa Chibunda alipofika na kukutana na wafanyakazi na wanafunzi pamoja na wadau wa chuo hicho leo Mei 7, 2018.
 Sehemu ya wanafunzi, wahadhiri, wafanyakazi na wadau wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine mkoani Mrorogoro wakimsilikiza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipofika na kukutana nao chuo hapo leo Mei 7, 2018
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea jambo na Makamu Mkuu wa  Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) Profesa Raphael Tihelwa Chibunda alipofika na kukutana na wafanyakazi na wanafunzi pamoja na wadau wa chuo hicho leo Mei 7, 2018. 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungiana mikono na wanafunzi, wahadhiri, wafanyakazi na wadau wa   Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) baada ya kukutana nao leo Mei 7, 2018.  
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na baadhi ya  wanafunzi, wahadhiri, wafanyakazi na wadau wa   Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) baada ya kukutana nao leo Mei 7, 2018.  
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa alipotembelea   Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) na kukutana na wanafunzi, wahadhiri, wafanyakazi na wadau wa chuo hicho leo meo7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro Bw. Tandari baada ya kukutana na  kuongea na wanafunzi, wahadhiri, wafanyakazi na wadau wa   Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) baada leo Mei 7, 2018.  Wengine ni  Waziri wa elimu,sayansi,na teknolojia na ufundi Profesa Joyce Ndalichako na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe.
Picha na IKULU


Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA KILIMO CHA SOKOINE MOROGORO

yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA KILIMO CHA SOKOINE MOROGORO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA KILIMO CHA SOKOINE MOROGORO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/rais-dkt-magufuli-atembelea-chuo-kikuu_48.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA KILIMO CHA SOKOINE MOROGORO"

Post a Comment

Loading...