Loading...
title : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Aendelea na Ziara Yake Kisiwani Pemba Azungumza na Mabalozi wa Wilaya Chakechake Pemba.
link : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Aendelea na Ziara Yake Kisiwani Pemba Azungumza na Mabalozi wa Wilaya Chakechake Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Aendelea na Ziara Yake Kisiwani Pemba Azungumza na Mabalozi wa Wilaya Chakechake Pemba.
Baadhi ya Mabalozi wa Mashina ya CCM katika Wilaya ya Chakechake wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipowasili katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidelcastro Wilaya ya Chakechake katika mkutano na Mabalozi hao jana akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa was Kusini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidelcastro Wilaya ya Chakechake wakati wa Mkutano wa Viongozi wa Mashina jana akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba
Balozi Kiembe Khamis Ramadhan akisoma taarifa ya Utekelezaji ya kazi za Mabalozi wa Wilaya ya Chake chake katika mkutano uliofanyika jana katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidelcastro mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani), akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Ngazi ya Mashina (Mabalozi) katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Fidelcastro Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba jana akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Ngazi ya Mashina (Mabalozi) katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Fidelcastro Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba jana akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi
Mabalozi wa Chama cha Mapinduzi katika Shehia Mbali mbali za Wilaya ya Chakechake Mkoani wa Kusini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumzanao jana katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Fidelcastro akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi.
Mabalozi wa Chama cha Mapinduzi katika Shehia Mbali mbali za Wilaya ya Chakechake Mkoani wa Kusini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumzanao jana katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Fidelcastro akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi,[Picha na Ikulu)
Hivyo makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Aendelea na Ziara Yake Kisiwani Pemba Azungumza na Mabalozi wa Wilaya Chakechake Pemba.
yaani makala yote Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Aendelea na Ziara Yake Kisiwani Pemba Azungumza na Mabalozi wa Wilaya Chakechake Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Aendelea na Ziara Yake Kisiwani Pemba Azungumza na Mabalozi wa Wilaya Chakechake Pemba. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/rais-wa-zanzibar-na-mwenyekiti-wa_80.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Aendelea na Ziara Yake Kisiwani Pemba Azungumza na Mabalozi wa Wilaya Chakechake Pemba."
Post a Comment