Loading...

SERIKALI YAMALIZA MGOGORO MPAKA KATI YA MANYARA NA TANGA

Loading...
SERIKALI YAMALIZA MGOGORO MPAKA KATI YA MANYARA NA TANGA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI YAMALIZA MGOGORO MPAKA KATI YA MANYARA NA TANGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI YAMALIZA MGOGORO MPAKA KATI YA MANYARA NA TANGA
link : SERIKALI YAMALIZA MGOGORO MPAKA KATI YA MANYARA NA TANGA

soma pia


SERIKALI YAMALIZA MGOGORO MPAKA KATI YA MANYARA NA TANGA

Na Hassan Mabuye, Wizara ya Ardhi
Serikali yamaliza mgogoro wa mpaka kati ya mkoa wa Manyara na Tanga katika wilaya za Kiteto na Kilindi uliodumu kwa zaidi ya miaka 20.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe William Lukuvi ambaye amesema moja ya sababu kubwa za kuwepo kwa mgogoro huo ni baadhi ya wapimaji mipaka waliokuwepo wakati huo kuhongwa na kupindisha mpaka.

Mgogoro huu uliwasilishwa kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa wakati alipofanya ziara yake mwezi januari mwaka 2017 ambapo wananchi walifikisha malalamiko ya mgogoro huo ambao umegharimu maisha ya watu wengi na mauaji ya mara kwa mara.

Waziri Mkuu alimtaka wa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kushirikiana na Waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI kuunda timu ya wataalamu ambao walianza kazi ya upimaji mwezi Machi 2017 ambao walipima mpaka huo kwa usahihi japo na wao walitaka kuhongwa pesa kutoka kwa baadhi ya watu hata hivyo walizikataa.
 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe William Lukuvi akiongea na wananchi wa wilaya za Kiteto na Kilindi waliohudhuria katika mkutano wakati akiwatangazia kuhusu Serikali kumaliza mgogoro wa mpaka wa wilaya hizo mbili.
   Eneo la mpaka wa Kiteto na Kilindi ambalo lilikuwa na mgogoro
 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe William Lukuvi akisalimiana na wakazi wa wilaya za Kiteto na Kilindi wenyenyuso za furaha mara baada ya kumalizika kwa mgogoro huo.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Suleiman Jafo akisalimiana na wakazi wa wilaya za Kiteto na Kilindi wenyenyuso za furaha mara baada ya kumalizika kwa mgogoro huo.
  Baadhi ya wananchi wa wilaya za Kiteto na Kilindi waliohudhuria katika mkutano wa utatuzi wa mgogoro kati ya wilaya hizo wakifuatilia kwa makini maamuzi ya utatuzi wa mgogoro huo.
 wananchi wa wilaya za Kiteto na Kilindi waliohudhuria katika mkutano wa utatuzi wa mgogoro kati ya wilaya hizo wakifuatilia kwa makini maamuzi ya utatuzi wa mgogoro huo.

 KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala SERIKALI YAMALIZA MGOGORO MPAKA KATI YA MANYARA NA TANGA

yaani makala yote SERIKALI YAMALIZA MGOGORO MPAKA KATI YA MANYARA NA TANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YAMALIZA MGOGORO MPAKA KATI YA MANYARA NA TANGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/serikali-yamaliza-mgogoro-mpaka-kati-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SERIKALI YAMALIZA MGOGORO MPAKA KATI YA MANYARA NA TANGA"

Post a Comment

Loading...