Loading...

SITAKI UKANJANJA KATIKA UJENZI WA STENDI YA MABASI MBEZI LUIS - WAZIRI JAFO

Loading...
SITAKI UKANJANJA KATIKA UJENZI WA STENDI YA MABASI MBEZI LUIS - WAZIRI JAFO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SITAKI UKANJANJA KATIKA UJENZI WA STENDI YA MABASI MBEZI LUIS - WAZIRI JAFO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SITAKI UKANJANJA KATIKA UJENZI WA STENDI YA MABASI MBEZI LUIS - WAZIRI JAFO
link : SITAKI UKANJANJA KATIKA UJENZI WA STENDI YA MABASI MBEZI LUIS - WAZIRI JAFO

soma pia


SITAKI UKANJANJA KATIKA UJENZI WA STENDI YA MABASI MBEZI LUIS - WAZIRI JAFO

WAZIRI  wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo amewaonya watu ambao ni makanjanja wa miradi ya maendeleo kwamba hatasita kuwachukulia hatua kali za kisheria huku akisema hatarajii kuwaona katika mradi wa stendi ya mabasi ya mikoani inayotarajiwa kujengwa Mbezi Luis jijini Dar es salaam.

Jafo ameyasema hayo alipotembelea eneo linalotarajiwa kujengwa stendi hiyo eneo la Mbezi Luis jiji Dar es salaam. Ujenzi wa stendi hiyo unatarajiwa kuanza kujengwa miezi michache ijayo baada ya jiji la Dar es salaam kupata fedha Sh. bilioni 50 kutoka serikali kuu kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya kimkakati inayotekelezwa chini ya Ofisi ya Rais TAMISEMI. 

Akizungumza katika eneo hilo, Jafo amesema kuna baadhi ya watu wanapoona miradi mikubwa kama hiyo huwa wanapanga mikakati ya kuhujumu au kujipatia fedha kwa kufanya ufisadi.

"Wataofanya hivyo waelewe wazi  hawatabaki salama," amesisitiza  Waziri Jafo

Aidha, Jafo amesisitiza kauli ya Rais Dk.John Magufuli aliyoitoa wakati akizindua stendi ya mabasi ya Msamvu kwamba katika ujenzi wa stendi zote lazima zizingatie mahitaji ya wadau mbalimbali hususan Mama na baba Nitilie ili waweze kujipatia fedha kutokana na uuzaji wa chakula. 
Naye, Mkurugenzi wa Jiji la Dar es salaam  Zipora Liana amemuahidi Waziri Jafo kwamba stendi hiyo itakuwa ya mfano barani Afrika kwani itajengwa kisasa zaidi.
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi) Selemani Jafo akiwa na Viongozi wa mkoa wa Dar es salaam na wilaya ya Ubungo katika ukaguzi wa eneo la ujenzi wa Stendi ya Mbezi Luis.

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi) Selemani Jafo akikagua mipaka ya eneo la ujenzi wa Stendi ya Mbezi Luis.
 Viongozi mbalimbali wakisikiliza maelekezo ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi) Selemani Jafo kuhusu ukaguzi wa eneo la ujenzi wa Stendi ya Mbezi Luis.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi) Selemani Jafo akipata maelezo ya eneo linalotarajiwa kujengwa stendi ya mabasi ya kisasa ya Mbezi Luis.


Hivyo makala SITAKI UKANJANJA KATIKA UJENZI WA STENDI YA MABASI MBEZI LUIS - WAZIRI JAFO

yaani makala yote SITAKI UKANJANJA KATIKA UJENZI WA STENDI YA MABASI MBEZI LUIS - WAZIRI JAFO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SITAKI UKANJANJA KATIKA UJENZI WA STENDI YA MABASI MBEZI LUIS - WAZIRI JAFO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/sitaki-ukanjanja-katika-ujenzi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SITAKI UKANJANJA KATIKA UJENZI WA STENDI YA MABASI MBEZI LUIS - WAZIRI JAFO"

Post a Comment

Loading...