Loading...
title : SPIKA NDUGAI AZUNGUMZA NA MKURUGENZI WA FEDHA KANDA MAALUM YA KIUCHUMI KUTOKA NCHINI GABON LEO MJINI DODOMA
link : SPIKA NDUGAI AZUNGUMZA NA MKURUGENZI WA FEDHA KANDA MAALUM YA KIUCHUMI KUTOKA NCHINI GABON LEO MJINI DODOMA
SPIKA NDUGAI AZUNGUMZA NA MKURUGENZI WA FEDHA KANDA MAALUM YA KIUCHUMI KUTOKA NCHINI GABON LEO MJINI DODOMA
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na mgeni wake Mkurugenzi wa fedha kutoka Kanda Maalum ya kiuchumi nchini Gabon, Ndg. Aashutosh Agarwal (katikati) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Kata ya kivukoni, Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam Ndg. Sharik Choughule.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na mgeni wake Mkurugenzi wa fedha kutoka Kanda Maalum ya kiuchumi nchini Gabon, Ndg. Aashutosh Agarwal (katikati) alieongozana na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Kata ya kivukoni, Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam Ndg. Sharik Choughule (kulia) walipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza mgeni wake Mkurugenzi wa fedha kutoka Kanda Maalum ya kiuchumi nchini Gabon, Ndg. Aashutosh Agarwal (katikati) alieongozana na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya kivukoni, Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam Ndg. Sharik Choughule (kulia) walipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.(PICHA NA DEONISIUS SIMBA - OFISI YA BUNGE)
Hivyo makala SPIKA NDUGAI AZUNGUMZA NA MKURUGENZI WA FEDHA KANDA MAALUM YA KIUCHUMI KUTOKA NCHINI GABON LEO MJINI DODOMA
yaani makala yote SPIKA NDUGAI AZUNGUMZA NA MKURUGENZI WA FEDHA KANDA MAALUM YA KIUCHUMI KUTOKA NCHINI GABON LEO MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI AZUNGUMZA NA MKURUGENZI WA FEDHA KANDA MAALUM YA KIUCHUMI KUTOKA NCHINI GABON LEO MJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/spika-ndugai-azungumza-na-mkurugenzi-wa.html
0 Response to "SPIKA NDUGAI AZUNGUMZA NA MKURUGENZI WA FEDHA KANDA MAALUM YA KIUCHUMI KUTOKA NCHINI GABON LEO MJINI DODOMA"
Post a Comment