Loading...
title : TIB Corporate Bank washiriki jukwaa la biashara jijini Arusha
link : TIB Corporate Bank washiriki jukwaa la biashara jijini Arusha
TIB Corporate Bank washiriki jukwaa la biashara jijini Arusha
Mkurugenzi Mkuu TIB Corporate Bank Frank Nyabundege akitoa ufafanuzi juu ya riba zinazotolewa na Bank wakati wa jukwaa linawakutanisha wadau mbalimbali katika masuala ya kuwezesha na kuendeleza biashara pamoja na kujadili fursa mbalimbali na namna gani wadau wanaweza kusaidia kuinua fursa hizo.
Mkurugenzi wa matawi na masoko TIB Corporate Bank Theresia Soka akitoa mada juu ya Bank hiyo wakati wa Jukwaa hilo linawakutanisha wadau mbalimbali katika masuala ya kuwezesha na kuendeleza biashara lililofanyika leo jijini Arusha.
Meneja wa Tawi la TIB CBL Arusha Juliana Mwansuva akiwakaribisha wananchi wa Arusha kufika katika Tawi ili kujipatia huduma za kibenki za Hali ya juu wakati wa jukwaa hilo.
Washiriki mbalimbali kwenye mkutano iliowakutanisha wa watu zaidi ya 500 ili kujadili fursa mbalimbali na namna gani wadau wanaweza kusaidia kuinua fursa hizo.
Mgeni rasmi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akiwa kwenye picha ya pamoja na wadhamini wa jukwaa hilo lililofanyika jijini Arusha.
Hivyo makala TIB Corporate Bank washiriki jukwaa la biashara jijini Arusha
yaani makala yote TIB Corporate Bank washiriki jukwaa la biashara jijini Arusha Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TIB Corporate Bank washiriki jukwaa la biashara jijini Arusha mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/tib-corporate-bank-washiriki-jukwaa-la.html
0 Response to "TIB Corporate Bank washiriki jukwaa la biashara jijini Arusha"
Post a Comment