Loading...

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA UJUMBE WA EU

Loading...
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA UJUMBE WA EU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA UJUMBE WA EU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA UJUMBE WA EU
link : TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA UJUMBE WA EU

soma pia


TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA UJUMBE WA EU

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Semistocles Kaijage (katikati) akieleza jambo wakati alipokutana na ujumbe kutoka Ubalozi wa Jumuiya ya Ulaya kujadiliana Taarifa ya Utazamaji wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 iliyotolewa na jumuiya hiyo.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa NEC Jaji Mkuu Mst. (Znz) Hamid Mahmoud Hamid na kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Uchaguzi na Mkuu wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura Giveness Aswile.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Semistocles Kaijage (wa nne kushoto) akifafanua jambo kwa Balozi wa Jumuiya ya Ulaya (EU) Roeland Van de Geer (wa pili kushoto) na Mtaalau wa Masuala ya Siasa wa EU, Anna Costantin.Ujumbe huo ulifika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam kujadili Taarifa ya Utazamaji wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 ilyotolewa na jumuiya hiyo.
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Asina Omari (wa pili kulia) akiwasilisha taarifa fup kuhusu Tume na majukumu yake kwa ujumbe kutoka Ubalozi wa Jumuiya ya Ulaya (EU) (kushoto) uliofika ofisi za NEC kujadili Taarifa ya Utazamaji wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 iliyotolewa na jumuiya hiyo.Katikati ni Mwenyekiti wa NEC Jaji Semistocles Kaijage.

Picha na Hussein Makame-NEC


Hivyo makala TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA UJUMBE WA EU

yaani makala yote TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA UJUMBE WA EU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA UJUMBE WA EU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/tume-ya-taifa-ya-uchaguzi-yakutana-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA UJUMBE WA EU"

Post a Comment

Loading...