Loading...
title : ULEGA AZUNGUMZIA MRADI WA UMEME WA REA MKURUNGA,APONGEZA JUHUDI ZA VIONGOZI,WANANCHI
link : ULEGA AZUNGUMZIA MRADI WA UMEME WA REA MKURUNGA,APONGEZA JUHUDI ZA VIONGOZI,WANANCHI
ULEGA AZUNGUMZIA MRADI WA UMEME WA REA MKURUNGA,APONGEZA JUHUDI ZA VIONGOZI,WANANCHI
Na Emmanuel Masaka,Globu ya jamii
NAIBU Waziri wa Mifugo Na Uvuvi ambaye pia ni Mbunge wa Mkuranga Aballah Ulega amekagua mradi wa Umeme vijijini(REA) Awamu ya 3 Union delta katika Vijiji viwil vya Mkokozi na Lugwadu katika Kata ya Mwandege wilayani Mkuranga mkoani Pwani.
Akizungumzia mradi huo leo, Ulega amesema mradi huo ua umeme unatokana na uhudi za viongozi akiwemo Diwani wa kata aa Mwandege Adolf Kohelo na yeye Mbunge wa jimbo la Mkuranga.
Aidha Ulega Amewashukuru wananchi wa vijiji hivyo kwa ushirikiano wao katika kufanikisha mradi huo."Nashukuru kwa kupokea mradi na nimesikia kuna timu ya watu wa REA wapatao 60 ambao mmewapa ushirikiano kwa kukubali kukakata miti yenu bila gharama.Mmenitia moyo sana," amesema.
Pia amewaomba Watanzania kumuombea Rais Dk. John Magufuli ili andelee kuwa na nguvu ya kuwatumikia wananchi wanyonge."Wanamkuranga hakuna zawadi nzuri ya kumpa Rais zaidi ya kumuombea," amesisitiza Ulega.

Kazi ya kusimika nguzo za umeme katika vijiji vya Lugwadu na Mkokozi ikiendelea kwa kasi.

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega na Mbunge wa Mkuranga akiwaaga wananchi wa vijiji vya Mkokozi na Lugwadu katika ziara ya kukagua mradi wa umeme wa Rea Mkoani Pwani.

Hivyo makala ULEGA AZUNGUMZIA MRADI WA UMEME WA REA MKURUNGA,APONGEZA JUHUDI ZA VIONGOZI,WANANCHI
yaani makala yote ULEGA AZUNGUMZIA MRADI WA UMEME WA REA MKURUNGA,APONGEZA JUHUDI ZA VIONGOZI,WANANCHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ULEGA AZUNGUMZIA MRADI WA UMEME WA REA MKURUNGA,APONGEZA JUHUDI ZA VIONGOZI,WANANCHI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/ulega-azungumzia-mradi-wa-umeme-wa-rea.html
0 Response to "ULEGA AZUNGUMZIA MRADI WA UMEME WA REA MKURUNGA,APONGEZA JUHUDI ZA VIONGOZI,WANANCHI"
Post a Comment