Loading...

USHAHIDI KESI OFISA TRA ANAYEDAIWA KUMILIKI MAGARI 19 YA THAMANI YA MILIONI 197.6 KUSIKILIZWA KWA SIKU MBILI

Loading...
USHAHIDI KESI OFISA TRA ANAYEDAIWA KUMILIKI MAGARI 19 YA THAMANI YA MILIONI 197.6 KUSIKILIZWA KWA SIKU MBILI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa USHAHIDI KESI OFISA TRA ANAYEDAIWA KUMILIKI MAGARI 19 YA THAMANI YA MILIONI 197.6 KUSIKILIZWA KWA SIKU MBILI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : USHAHIDI KESI OFISA TRA ANAYEDAIWA KUMILIKI MAGARI 19 YA THAMANI YA MILIONI 197.6 KUSIKILIZWA KWA SIKU MBILI
link : USHAHIDI KESI OFISA TRA ANAYEDAIWA KUMILIKI MAGARI 19 YA THAMANI YA MILIONI 197.6 KUSIKILIZWA KWA SIKU MBILI

soma pia


USHAHIDI KESI OFISA TRA ANAYEDAIWA KUMILIKI MAGARI 19 YA THAMANI YA MILIONI 197.6 KUSIKILIZWA KWA SIKU MBILI


Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii

USHAHIDI dhidi ya kesi inayomkabili Ofisa Msaidizi wa Forodha wa (TRA), Jennifer Mushi anayedaiwa kumiliki magari 19 yenye thamani ya Sh.milioni 197.6 yasiyolingana na kipato chake unatarajia kusikilizwa kwa siku mbili mfululizo.

Hayo yameelezwa leo Mei 2 mwaka huu mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shahidi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya Mwendesha Mashtaka wa Jamhuri, Inspekta Hamis 
kueleza kuwa shauri hilo limeitishwa kwa ajili ya kusikilizwa.

Hata hivyo, Inspekta Hamis amedai kuwa hana taarifa za kutosha kuhusu usikilizwaji wa shauri hilo kwani lipo chini ya Mawakili wa Takukuru na hawapo mahakamani.Kutokana na taarifa hiyo Hakimu Shaidi ameahirisha kesi hiyo hadi Mei 28 na 29, 2018, kwa ajili ya kuanza kusikilizwa mfululizo.

Katika kesi hiyo, mshtakiwa anadaiwa kati ya Machi 21, 2016 na Juni 30, mwaka 2016 maeneo tofauti jijini Dar es Salaam, mshtakiwa akiwa mfanyakazi wa TRA  alikutwa akimiliki mali zisizolingana na kipato chake, kinyume na sheria.Inadaiwa pia, alikutwa akimiliki magari 19, yakiwemo Toyota Ra4,Toyota dyna truck, Toyota viz, Suzuki carry, Toyota Ipsum na 
mengineyo ambayo yote yote yana thamani ya milioni.197,601,207
.
Pia anadaiwa, kati ya Machi 21, 2012 na Machi 30, 2016 maeneo ya Dar es salaam akiwa mwajiriwa wa TRA aliishi maisha ya kipato cha juu (kifahari) yenye thamani ya Sh.milioni 333.2 tofauti na kipato chake.


Hivyo makala USHAHIDI KESI OFISA TRA ANAYEDAIWA KUMILIKI MAGARI 19 YA THAMANI YA MILIONI 197.6 KUSIKILIZWA KWA SIKU MBILI

yaani makala yote USHAHIDI KESI OFISA TRA ANAYEDAIWA KUMILIKI MAGARI 19 YA THAMANI YA MILIONI 197.6 KUSIKILIZWA KWA SIKU MBILI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala USHAHIDI KESI OFISA TRA ANAYEDAIWA KUMILIKI MAGARI 19 YA THAMANI YA MILIONI 197.6 KUSIKILIZWA KWA SIKU MBILI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/ushahidi-kesi-ofisa-tra-anayedaiwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "USHAHIDI KESI OFISA TRA ANAYEDAIWA KUMILIKI MAGARI 19 YA THAMANI YA MILIONI 197.6 KUSIKILIZWA KWA SIKU MBILI"

Post a Comment

Loading...