Loading...

Utalii : Tanzania Yatajwa kuwa bustani ya Eden na Chimbuko la Mwanadamu wa kale Duniani

Loading...
Utalii : Tanzania Yatajwa kuwa bustani ya Eden na Chimbuko la Mwanadamu wa kale Duniani - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Utalii : Tanzania Yatajwa kuwa bustani ya Eden na Chimbuko la Mwanadamu wa kale Duniani, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Utalii : Tanzania Yatajwa kuwa bustani ya Eden na Chimbuko la Mwanadamu wa kale Duniani
link : Utalii : Tanzania Yatajwa kuwa bustani ya Eden na Chimbuko la Mwanadamu wa kale Duniani

soma pia


Utalii : Tanzania Yatajwa kuwa bustani ya Eden na Chimbuko la Mwanadamu wa kale Duniani


Hatimaye utata uliokuwa ukiendelea duniani kwa watafiti wa mambo ya kale kuhusiana na mahali mwanadamu wa kwanza alipotokea umemalizika baada ya jopo la wataalam liloundwa na Wizara ya Maliasili na Utalii kufuatia ushahidi wa vinasaba kubaini kuwa binadamu huyo alitokea barani Afrika huku ikidaiwa kuwa ni Tanzania eneo la Olduvai Gorge.

Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga wakati wa mkutano wa wadau wa sekta ya ufugaji nyuki aloiutisha kujadili maendeleo ya sekta hiyo Jijini Dodoma mwishoni mwa wiki.

Amesema  utafiti huo umeshirikisha wataalamu kutoka mataifa mbalimbali duniani na kuwa kumalizika kwake kutaiwezesha sekta ya utalii nchini kukua kwa kasi sambamba na kuongeza pato la taifa.


Hivyo makala Utalii : Tanzania Yatajwa kuwa bustani ya Eden na Chimbuko la Mwanadamu wa kale Duniani

yaani makala yote Utalii : Tanzania Yatajwa kuwa bustani ya Eden na Chimbuko la Mwanadamu wa kale Duniani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Utalii : Tanzania Yatajwa kuwa bustani ya Eden na Chimbuko la Mwanadamu wa kale Duniani mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/utalii-tanzania-yatajwa-kuwa-bustani-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Utalii : Tanzania Yatajwa kuwa bustani ya Eden na Chimbuko la Mwanadamu wa kale Duniani"

Post a Comment

Loading...