Loading...

VIONGOZI CHADEMA WALIVYO VULIWA UANACHAMA

Loading...
VIONGOZI CHADEMA WALIVYO VULIWA UANACHAMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa VIONGOZI CHADEMA WALIVYO VULIWA UANACHAMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : VIONGOZI CHADEMA WALIVYO VULIWA UANACHAMA
link : VIONGOZI CHADEMA WALIVYO VULIWA UANACHAMA

soma pia


VIONGOZI CHADEMA WALIVYO VULIWA UANACHAMA


Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema, Patrick Ole Sosopi, ametangaza kuwafuta uanachama wanachama wawili wa chama hicho.

Waliofutwa uanachana ni pamoja na aliyekua Naibu Katibu Mkuu Bara, Getrude Ndibalema na Mwenyekiti wa Bavicha mkoa wa Kilimanjaro, Dickson Kibona.

Akizungumza jana Mei 21, katika mkutano na waandishi wa habari jijini Arusha, Ole Sosopi alisema kwamba uamuzi huo umekuja baada ya kufuata taratibu zote za kuwahoji kupitia tume iliyoundwa.

Alisema viongozi hao wamehojiwa baada ya kuwepo tuhuma za usaliti ambalo ni kosa kubwa kwenye chama hicho.

Sosopi amesema Bavicha imeridhia kuwaondoa wanachama hao baada ya kujiridhisha kwa makosa waliyoyafanya.


Hivyo makala VIONGOZI CHADEMA WALIVYO VULIWA UANACHAMA

yaani makala yote VIONGOZI CHADEMA WALIVYO VULIWA UANACHAMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala VIONGOZI CHADEMA WALIVYO VULIWA UANACHAMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/viongozi-chadema-walivyo-vuliwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "VIONGOZI CHADEMA WALIVYO VULIWA UANACHAMA"

Post a Comment

Loading...