Loading...

VITAMBULISHO VYA TAIFA KUWEZESHA WANANCHI DODOMA KUCHANGAMKIA FURSA ZINAZOJITOKEZA

Loading...
VITAMBULISHO VYA TAIFA KUWEZESHA WANANCHI DODOMA KUCHANGAMKIA FURSA ZINAZOJITOKEZA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa VITAMBULISHO VYA TAIFA KUWEZESHA WANANCHI DODOMA KUCHANGAMKIA FURSA ZINAZOJITOKEZA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : VITAMBULISHO VYA TAIFA KUWEZESHA WANANCHI DODOMA KUCHANGAMKIA FURSA ZINAZOJITOKEZA
link : VITAMBULISHO VYA TAIFA KUWEZESHA WANANCHI DODOMA KUCHANGAMKIA FURSA ZINAZOJITOKEZA

soma pia


VITAMBULISHO VYA TAIFA KUWEZESHA WANANCHI DODOMA KUCHANGAMKIA FURSA ZINAZOJITOKEZA

Kati ya fursa muhimu kwa wananchi wa mkoa wa Dodoma ni kusajiiwa Vitambulisho vya Taifa kama sehemu ya maandalizi msingi ya kunufaika na kazi zitakazopatikanam baada ya Mkoa huo kupandishwa hadhi na kuwa Jiji. Kati ya fursa muhimu ni pamoja na fusra za kibiashara, ubia katika uwekezaji n.k ambazo zote hizi zinamlenga mtanzania.
Hayo yamebainika wakati wa kutembelea na kukagua maendeleo ya zoezi la Usajili na Utambuzi wa Watu unaoendelea katika maeneo mbali mbali ya mkoa huo ikiwemo wilaya ya Dodoma.
Akizungumzia maendeleo ya zoezi hilo Afisa Usajili Mkoa wa Dodoma Bw. Khalid Marisho amesema mpaka sasa mwitikio wa wananchi ni mkubwa kulinganisha na hapo mwanza kabla wananchi hawajatambua na kuona manufaa ya kuwa na Kitambulisho cha Taifa.
Wananchi wa Kata ya Zuzu Wilaya ya Dodoma wameonyesha kufurahishwa na mwenendo wa  zoezi hilo; baada ya kutambua manufaa makubwa yapatikanayo kwa mtu kuwa na Kitambulisho
Mzee Ngowolo ni mkazi wa Zuzu mwenye Umri wa miaka 65, ambaye amezungumza na kueleza kwanini amejitokeza kusajiliwai. “Ni haki yetu ya Msingi sisi kutambuliwa kama Watanzania, mbali na kutambulika kirahisi kitambulisho kitaturahisishia katika upatikanaji wa huduma za kijamii kwani taarifa zote za muhimu zinazohitajika zitakuwepo kwenye Kitambulisho hicho” alisema
Mkoa wa Dodoma ni miongoni mwa mikoa nchini inayoendelea na zoezi la Usajili na Utambuzi zoezi ambalo linategemewa malizika kufikia mwezi mwishoni mwa mwezi Mei mwaka huu.
 Wananchi wakiwa katika foleni kuelekea kwenye chumba cha usajili uliohusisha uchukuaji wa alama za kibaiologia, saini ya kielektroniki pamoja na picha zoezi linaloendelea katika kata ya Zuzu wilaya ya Dodoma tangu kuanza kwake tarehe 29/04/2018.
 Afisa Mkaguzi msaidizi wa uhamiaji Bw. Aloyce luhombo akifanya mahojiano na wananchi waliofika katika moja ya vituo vya usajili Vitambulisho vya Taifa Kata ya Zuzu ili kubaini hadhi halisi ya uraia wao.
 Wananchi kutoka mitaa mbalimbali kata ya Zuzu wakiendelea na zoezi la ujazaji wa fomu za maombi ya Vitambulisho vya Taifa katika kituo cha kutoa huduma ya Usajili na Utambuzi Kata ya Zuzu wilayani Dodoma
 Mtendaji wa kata ya Zuzu Bw. Mabrouk Seif – (aliyeinama kwenye meza), Maccelina Chuwa -Mtendaji wa Mtaa wa Zuzu pamoja na Silvana Malyampa – Mwenyekiti wa Mtaa wakiwahudumia wananchi wa Kata na mtaa wa Zuzu waliofika katika moja ya Vituo vya usajili wa Vitambulisho vya Taifa wilayani Dodoma.
Bi Rehema Ngole, mkazi wa mtaa wa Soweto Kata ya Zuzu, akiweka saini ya kielektroniki kwenye mashine inayotumika kufanya Usajili na kurekodi taarifa za mwombaji wa Kitambulisho cha Taifa.


Hivyo makala VITAMBULISHO VYA TAIFA KUWEZESHA WANANCHI DODOMA KUCHANGAMKIA FURSA ZINAZOJITOKEZA

yaani makala yote VITAMBULISHO VYA TAIFA KUWEZESHA WANANCHI DODOMA KUCHANGAMKIA FURSA ZINAZOJITOKEZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala VITAMBULISHO VYA TAIFA KUWEZESHA WANANCHI DODOMA KUCHANGAMKIA FURSA ZINAZOJITOKEZA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/vitambulisho-vya-taifa-kuwezesha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "VITAMBULISHO VYA TAIFA KUWEZESHA WANANCHI DODOMA KUCHANGAMKIA FURSA ZINAZOJITOKEZA"

Post a Comment

Loading...