Loading...
title : WAFANYAKAZI TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WASHIRIKI SHEREHE ZA MAADHIMISHO SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI
link : WAFANYAKAZI TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WASHIRIKI SHEREHE ZA MAADHIMISHO SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI
WAFANYAKAZI TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WASHIRIKI SHEREHE ZA MAADHIMISHO SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika maandamano ya maadhimisho ya sherehe ya siku ya wafanyakazi Duniani yaliyofanyika kimkoa jana katika uwanja wa Uhuru mkoani Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakijiandaa kushiriki katika maandamano ya maadhimisho ya sherehe ya siku ya wafanyakazi Duniani yaliyofanyika kimkoa jana katika uwanja wa Uhuru mkoani Dar es Salaam.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) walioshiriki Maadhimisho ya sherehe ya siku ya Wafanyakazi Duniani kitaifa yaliyofanyika jana katika uwanja wa Samora mkoani Iringa.
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakipita mbele ya mgeni rasmi wakati wa maadhimisho ya sherehe ya siku ya wafanyakazi Duniani yaliyofanyika kimkoa jana katika uwanja wa Uhuru mkoani Dar es Salaam.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakijiandaa kushiriki katika maandamano ya maadhimisho ya Sherehe ya Siku ya Wafanyakazi Duniani kitaifa yaliyofanyika jana katika uwanja wa Samora mkoani Iringa.Picha na JKCI
Hivyo makala WAFANYAKAZI TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WASHIRIKI SHEREHE ZA MAADHIMISHO SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI
yaani makala yote WAFANYAKAZI TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WASHIRIKI SHEREHE ZA MAADHIMISHO SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAFANYAKAZI TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WASHIRIKI SHEREHE ZA MAADHIMISHO SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/wafanyakazi-taasisi-ya-moyo-jakaya.html
0 Response to "WAFANYAKAZI TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WASHIRIKI SHEREHE ZA MAADHIMISHO SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI"
Post a Comment