Loading...
title : WAFANYAKAZI WA TIB CORPORATE BANK WAUNGANA NA WAFANYAKAZI WENGINE KUSHEHEREKEA SIKUKUU YA MEI MOSI LEO JIJINI DAR
link : WAFANYAKAZI WA TIB CORPORATE BANK WAUNGANA NA WAFANYAKAZI WENGINE KUSHEHEREKEA SIKUKUU YA MEI MOSI LEO JIJINI DAR
WAFANYAKAZI WA TIB CORPORATE BANK WAUNGANA NA WAFANYAKAZI WENGINE KUSHEHEREKEA SIKUKUU YA MEI MOSI LEO JIJINI DAR
Wafanyakazi wa TIB Corporate Bank katika maadhimisho ya Mei Mosi leo jijini Dar es Salaam wakionesha bango lao lenye ujumbe wa kuhamsisha wananchi juu ya kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii kwaajili ya kulenga kuboresha mafao ya wafanyakazi ikiwa hiyo ndio kaauli mbiu yao katika kuadhimisha sikukuu ya Mei mosi kwa mwaka huu 2018.

Leo wafanyakazi kazi wa TIB Corporate Bank wamejiunga na wafanyakazi wote Tanzania katika kuadhimisha sikukuu ya Mei Mosi ambayo hufanyika kila mwaka kila ifikapo mwezi May 1.
TIB Corporate Bank wakinadi moja ya bidhaa mpya kabisa ya jipange inayowezesha kuwa na akaunti inayozaa riba kubwa na kukuwezesha kupata mkopo nafuu kwa haraka zaidi.
Wafanyakazi wa TIB Corporate Bank wakiwa jukwaani tayari kumsikiliza mgeni rasmi ktk maadhimisho ya siku ya wafanyakazi maarufu kama Mei mosi wakiwa katika uwanja wa uhuru jijini Dar es Salaam leo.
Hivyo makala WAFANYAKAZI WA TIB CORPORATE BANK WAUNGANA NA WAFANYAKAZI WENGINE KUSHEHEREKEA SIKUKUU YA MEI MOSI LEO JIJINI DAR
yaani makala yote WAFANYAKAZI WA TIB CORPORATE BANK WAUNGANA NA WAFANYAKAZI WENGINE KUSHEHEREKEA SIKUKUU YA MEI MOSI LEO JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAFANYAKAZI WA TIB CORPORATE BANK WAUNGANA NA WAFANYAKAZI WENGINE KUSHEHEREKEA SIKUKUU YA MEI MOSI LEO JIJINI DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/wafanyakazi-wa-tib-corporate-bank.html
0 Response to "WAFANYAKAZI WA TIB CORPORATE BANK WAUNGANA NA WAFANYAKAZI WENGINE KUSHEHEREKEA SIKUKUU YA MEI MOSI LEO JIJINI DAR"
Post a Comment