Loading...

WASHINDI WA TIGO NYAKA NYAKA WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO

Loading...
WASHINDI WA TIGO NYAKA NYAKA WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WASHINDI WA TIGO NYAKA NYAKA WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WASHINDI WA TIGO NYAKA NYAKA WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO
link : WASHINDI WA TIGO NYAKA NYAKA WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO

soma pia


WASHINDI WA TIGO NYAKA NYAKA WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO

 Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael (kushoto) akikabidhi simu janja aina ya TECNO R6 4G kwa Gladys Mtandila kutoka Makumbusho, Dar es Salaam aliyeibuka kama mojawapo ya washindi 1,080 wa simu katika promosheni iliyoisha jana ya Tigo Nyaka Nyaka Bonus. Kupitia promoshen hiyo, Tigo pia ilitoa bonasi nono za hadi GB 1 intaneti kwa wateja wake wlaionunua bando za intaneti kupitia menu *147*00#  
 eneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael (kushoto) akikabidhi simu janja aina ya TECNO R6 4G kwa Ramadhan Ali  Ngolozi kutoka Dar es Salaam aliyeibuka kama mojawapo ya washindi 1,080 wa simu katika promosheni iliyoisha jana ya Tigo Nyaka Nyaka Bonus. Kupitia promosheni hiyo, Tigo pia ilitoa bonasi nono za hadi GB 1 intaneti kwa wateja wake wlaionunua bando za intaneti kupitia menu *147*00# .
 Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael (kushoto) akikabidhi simu janja aina ya TECNO R6 4G kwa Sakina Kassanga, askari polisi kutoka Dar es Salaam aliyeibuka kama mojawapo ya washindi 1,080 wa simu katika promosheni iliyoisha jana ya Tigo Nyaka Nyaka Bonus. Kupitia promosheni hiyo, Tigo pia ilitoa bonasi nono za hadi GB 1 intaneti kwa wateja wake wlaionunua bando za intaneti kupitia menu *147*00#  
Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari katika hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa promosheni iliyoisha jana ya Tigo Nyaka Nyaka Bonus. Kupitia promosheni hiyo, Tigo ilitoa simu janja 1,080 kwa wateja wake, pamoja na bonasi nono za hadi GB 1 intaneti kwa wote walionunua bando za intaneti kupitia menu *147*00# .


Hivyo makala WASHINDI WA TIGO NYAKA NYAKA WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO

yaani makala yote WASHINDI WA TIGO NYAKA NYAKA WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WASHINDI WA TIGO NYAKA NYAKA WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/washindi-wa-tigo-nyaka-nyaka.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WASHINDI WA TIGO NYAKA NYAKA WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO"

Post a Comment

Loading...