Loading...

WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUTURISHA NYUMBANI KWAKE JIJINI DAR

Loading...
WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUTURISHA NYUMBANI KWAKE JIJINI DAR - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUTURISHA NYUMBANI KWAKE JIJINI DAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUTURISHA NYUMBANI KWAKE JIJINI DAR
link : WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUTURISHA NYUMBANI KWAKE JIJINI DAR

soma pia


WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUTURISHA NYUMBANI KWAKE JIJINI DAR


  Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akimkaribisha, Waziri wa Mambo ya Dini wa Saud Arabia, Dkt. Saleh Alashiek (wapili kushoto) na ujumbe wake wakati alipofuturisha kwenye Makazi ya Waziri Mkuu,  Oysterbay jijini Dar es salaam, Mei 27, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofuturisha kwenye Makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam  Mei 27, 2018. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Dini wa Saud Arabia, Dkt. Saleh Alashiek na kulia ni Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeir.
  Baadhi ya waalikwa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza katika futari aliyoiandaa kwenye Makazi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Mei 27, 2018. 
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa (kushoto) akiagana na baadhi ya wanawake walioshiriki katika futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye Makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam, Mei 27, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Hivyo makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUTURISHA NYUMBANI KWAKE JIJINI DAR

yaani makala yote WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUTURISHA NYUMBANI KWAKE JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUTURISHA NYUMBANI KWAKE JIJINI DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/waziri-mkuu-majaliwa-afuturisha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUTURISHA NYUMBANI KWAKE JIJINI DAR"

Post a Comment

Loading...