Loading...

Wizara ya Mambo ya Nje Kushiriki Maadhimisho ya siku ya Afrika

Loading...
Wizara ya Mambo ya Nje Kushiriki Maadhimisho ya siku ya Afrika - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wizara ya Mambo ya Nje Kushiriki Maadhimisho ya siku ya Afrika, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wizara ya Mambo ya Nje Kushiriki Maadhimisho ya siku ya Afrika
link : Wizara ya Mambo ya Nje Kushiriki Maadhimisho ya siku ya Afrika

soma pia


Wizara ya Mambo ya Nje Kushiriki Maadhimisho ya siku ya Afrika


Mkurugenzi wa Idara ya Afrika, Balozi Grace Mujuma amekutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi wa nchi za Afrika wanao wakilisha nchi zao hapa nchini,Mabalozi hao ni kutoka nchi za Namibia na Malawi, pamoja na mambo mengine katika mazungumzo hayo walijadiliana kuhusu maadhimisho ya kumbukumbu ya siku ya Umoja wa Afrika.
Umoja huo ulioanzishwa Mwaka 1963 kwa lengo la kutetea maslahi mbalimbali ya Bara la Afrika, kuongeza umoja zaidi katika kutetea uhuru na kulinda mipaka yake. Maadhimisho hayo yanatarajiwa kufanyika kwenye Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Namibia Mhe. Theresia Samaria, akimwelezea Balozi Mujuma (hayupo pichani), namna wanavyotarajia kuadhimisha hafla hiyo kwa hapa nchini, kulia ni Balozi wa Malawi Mhe. Hawa Olga Ndilowe akimsikiliza kwa makini.

Sehemu ya watumishi waliohudhuria mazungumzo hayo, wa kwanza kulia ni Bw. Salvatory Mbilinyi, Bw. Makamba Dahari na mwisho kushoto ni Bi. Zulekha Tambwe .
Mazungumzo yakiendelea.






Hivyo makala Wizara ya Mambo ya Nje Kushiriki Maadhimisho ya siku ya Afrika

yaani makala yote Wizara ya Mambo ya Nje Kushiriki Maadhimisho ya siku ya Afrika Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wizara ya Mambo ya Nje Kushiriki Maadhimisho ya siku ya Afrika mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/wizara-ya-mambo-ya-nje-kushiriki.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wizara ya Mambo ya Nje Kushiriki Maadhimisho ya siku ya Afrika"

Post a Comment

Loading...