Loading...

AFRIKA KUNAFANANA.

Loading...
AFRIKA KUNAFANANA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AFRIKA KUNAFANANA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AFRIKA KUNAFANANA.
link : AFRIKA KUNAFANANA.

soma pia


AFRIKA KUNAFANANA.

England imekusanya pointi zote tatu katika mechi yake ya kwanza ya Kombe la Dunia 2018 baada ya kufiunga Tunisia kwa mabao 2-1.

Mabao mawili ya Harry Kane, la kwanza katika dakika ya 11 na lile la pili dakika ua 90 ndiyo yameipa ushindi England.


Ilionekana wazi tokea dakika ya 70 kuwa Tunisia walikosea zaidi kulinda kwa muda mrefu huku wakiwa na mashambulizi machache.


Mara kadhaa, England walipoteza nafasi nyingi za kufunga huku Tunisia wakishambulia kwa kushitukiza.

Tunisia imekuwa timu ya nne ya Afrika kupoteza mechi mechi ya kwanza na kesho ni zamu wa Senegal. Hata hivyo, Tunisia pia imekuwa timu ya kwanza ya Afrika kufunga bao katika Kombe la Dunia 2018.



















Hivyo makala AFRIKA KUNAFANANA.

yaani makala yote AFRIKA KUNAFANANA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AFRIKA KUNAFANANA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/afrika-kunafanana.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "AFRIKA KUNAFANANA."

Post a Comment

Loading...