Loading...
title : BALOZI WA KUWAIT ALIVYOADHIMISHA SIKU YA ALBINO DUNIANI
link : BALOZI WA KUWAIT ALIVYOADHIMISHA SIKU YA ALBINO DUNIANI
BALOZI WA KUWAIT ALIVYOADHIMISHA SIKU YA ALBINO DUNIANI
Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jaseem Al Najem (katikati waliosimama) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya vijana wenye Ualbino katika kushirikiana nao kuadhimisha siku albino duniani 'International Albinism Awareness Day 2018' iliyofanyika hivi karibuni. Balozi huyo alikula nao chakula vijana hao katika kituo cha TYPF kilichopo Upanga, jijini Dar es salaam kwa kushirikiana na Taasisi ya Humanity Action for Children iliyo chini ya Mama Shamim Khan (wa tatu kulia waliosimama).
Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jaseem Al Najem akiwapatia zawadi mbalimbali vijana hao wenye ualbino ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku albino duniani 'International Albinism Awareness Day 2018' iliyofanyika hivi karibuni. kushoto kwake ni Muanzilishi wa Taasisi ya Humanity Action for Children, Mama Shamim Khan.
Hivyo makala BALOZI WA KUWAIT ALIVYOADHIMISHA SIKU YA ALBINO DUNIANI
yaani makala yote BALOZI WA KUWAIT ALIVYOADHIMISHA SIKU YA ALBINO DUNIANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BALOZI WA KUWAIT ALIVYOADHIMISHA SIKU YA ALBINO DUNIANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/balozi-wa-kuwait-alivyoadhimisha-siku.html
0 Response to "BALOZI WA KUWAIT ALIVYOADHIMISHA SIKU YA ALBINO DUNIANI"
Post a Comment