Loading...
title : Chuo Kikuu cha Mzumbe yatangaza maombi kwa njia ya mtandao
link : Chuo Kikuu cha Mzumbe yatangaza maombi kwa njia ya mtandao
Chuo Kikuu cha Mzumbe yatangaza maombi kwa njia ya mtandao
Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
Chuo Kikuu cha Mzumbe kimesema kuwa waombaji wa kozi mbalimbali katika chuo hicho wanaomba moja kwa moja kwa njia ya mtandao ikiwa ni kuwaondolea usumbufu kwenda vyuoni kwa kwa ajili ya udahili.
Akizungumza na katika banda la Chuo Kikuu cha Mzumbe katika moenesho ya 42 ya biashara kimataifa katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Ofisa Udahili wa chuo hicho Innocent Mgeta amesema kuwa kwa wataotembelea maonesho ya sabasaba watasaidiwa maombi hayo kwa njia ya Mtandao.
Amesema kuwa kwa waombaji wa udakitari wa Falsafa wataomba maombi yao moja kwa moja chuoni hii ni kutokana na mfumo waliouweka.
Aidha amesema kuwa Chuo cha Mzumbe kinaendelea kutoa elimu bora kwa ajili ya maendeleo ya taifa kutokana na kozi zilizopo katika kila mwaka wa masomo.
Ofisa Udahili wa chuo Kikuu cha Mzumbe,Innocent Mgeta akizungumza katika banda la chuo hicho katika moenesho ya 42 ya biashara kimataifa katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere.
Mkufuzi wa Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Mzumbe Johakim John akitoa maelezo kwa mteja aliyetembelea banda chuo hicho katika moenesho ya 42 ya biashara kimataifa katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere.
.Ofisa Udahili wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Edward Shana akizungumza na wateja waliotembelea banda chuo hicho katika moenesho ya 42 ya biashara kimataifa katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere.
Hivyo makala Chuo Kikuu cha Mzumbe yatangaza maombi kwa njia ya mtandao
yaani makala yote Chuo Kikuu cha Mzumbe yatangaza maombi kwa njia ya mtandao Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Chuo Kikuu cha Mzumbe yatangaza maombi kwa njia ya mtandao mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/chuo-kikuu-cha-mzumbe-yatangaza-maombi.html
0 Response to "Chuo Kikuu cha Mzumbe yatangaza maombi kwa njia ya mtandao"
Post a Comment