Loading...

DC MJEMA AZINDU KAMBI YA WAREMBO ILALA , ATAMBA MISS TANZANIA ATATOKA ILALA.

Loading...
DC MJEMA AZINDU KAMBI YA WAREMBO ILALA , ATAMBA MISS TANZANIA ATATOKA ILALA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC MJEMA AZINDU KAMBI YA WAREMBO ILALA , ATAMBA MISS TANZANIA ATATOKA ILALA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC MJEMA AZINDU KAMBI YA WAREMBO ILALA , ATAMBA MISS TANZANIA ATATOKA ILALA.
link : DC MJEMA AZINDU KAMBI YA WAREMBO ILALA , ATAMBA MISS TANZANIA ATATOKA ILALA.

soma pia


DC MJEMA AZINDU KAMBI YA WAREMBO ILALA , ATAMBA MISS TANZANIA ATATOKA ILALA.

 
Mwamba wa habari 
 Na.John Luhende
Mkuu wa Wilaya ya Ilala mhe Sophia Mjema amewataka wasichana wanaoshiriki mashindano ya miss Ilala 2018, kujiamini na kuwa wabunifu na kushiriki katika shughuli za maendeleo katikajamii.

Mhe Mjema Ameyasema hayo katika hotel ya Lamada Ilala wakati akizindua rasmi kambi ya kujiandaa na mashindano ya Miss Ilala  yanayotarajiwa kufanyika Julai 6/2018, na kuahidi kuwa ofisi yake itafanya  kazi kwa kushirikiana na washiriki wote katika shughuli za kijamii na kuhamasisha maendeleo.





"Napenda niwatie moyo kuwa ninyi ni wasichana warembo na mtafika mbali na mshindi wa Miss Tanzania atatoka Ilala kwakuwa nimewaona mnaweza" alisema

Aidha Mjema Manispaa ya Ilala itagharamia zawadi za washindi , ametaja zawadi za mshindi na washiriki za washiriki wa mashindano hayo kuwa, mshindi wa kwanza atapewa Kiwanja na hati.

"Katika mashindano  Kuna namba ya kwanza ya pili na kuendelea  sasa wotowangu  hujashinda usinune , wewe katika kuingia katika kambi hii tayari sisi tumeshajenga kuona utafanya kazi na sisi kwa muda wa mwakammoja" alisema 

Kwa upande wake mlezi wa wasichana hao  Diwani wa Vingunguti ambaye pia ni Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto amemshukuru DC Mjema kwa Wilaya yake kujitoea kutoa zawadi za washindi wa mashindano hayo  na kuahidi kuwa mashindano hayo yatafanyika  kwa haki na  nayeye kama mlezi atakuwa karibu na walimbwende hao kuhakikisha wanapewa mafunzo  yanayostahiki ili waweze kupata  mshindi bora.


Hivyo makala DC MJEMA AZINDU KAMBI YA WAREMBO ILALA , ATAMBA MISS TANZANIA ATATOKA ILALA.

yaani makala yote DC MJEMA AZINDU KAMBI YA WAREMBO ILALA , ATAMBA MISS TANZANIA ATATOKA ILALA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC MJEMA AZINDU KAMBI YA WAREMBO ILALA , ATAMBA MISS TANZANIA ATATOKA ILALA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/dc-mjema-azindu-kambi-ya-warembo-ilala.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC MJEMA AZINDU KAMBI YA WAREMBO ILALA , ATAMBA MISS TANZANIA ATATOKA ILALA."

Post a Comment

Loading...