Loading...
title : GREEN WASTE PRO YANG'ARA SIKU YA MAZINGIRA DUNANI.
link : GREEN WASTE PRO YANG'ARA SIKU YA MAZINGIRA DUNANI.
GREEN WASTE PRO YANG'ARA SIKU YA MAZINGIRA DUNANI.
Na. John Luhende
Kampuni ya usafi na utunzaji mazingira nchi Tanzania Green West pro katika kuazimisha siku ya mazingira Dunani umeitakahamii kutambua thamani ya taka na kuhifadhi mazingira kwa kujipatia kipato kutokana na aina mbalimbali za taka.
Hayo yamesemwa na Meneja uendeshaji wa kampuni ya Green Waste Pro Abdalah Mbenna alipokuwa katika uwanja wa mnazi mmoja katika maonesho ya maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani ambapo kitaifa yame fanyika jijini Dar es Salaam na kuwataka jamii kufahamu umuhimu wa kutunza mazingira na kudumisha usafi.
Amesema kampuni hiyo imepata ushindi katika makampuni ya usafi na mazingira Tanzania na kujiyakulia tuzo tano kwa muda wa miaka mitano, ambapo mwaka huu pia imepata tuzo na cheti cha mshindi wa kwanza.
Kampuni ya Green Waste Pro inatoa Huduma zake katika mikoa ya Dar es salaam na Mwanza.
Hivyo makala GREEN WASTE PRO YANG'ARA SIKU YA MAZINGIRA DUNANI.
yaani makala yote GREEN WASTE PRO YANG'ARA SIKU YA MAZINGIRA DUNANI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala GREEN WASTE PRO YANG'ARA SIKU YA MAZINGIRA DUNANI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/green-waste-pro-yangara-siku-ya.html
0 Response to "GREEN WASTE PRO YANG'ARA SIKU YA MAZINGIRA DUNANI."
Post a Comment