Loading...
title : JOE WARIOBA - AZUNGUMZIA TUKIO LA KIHISTORIA LA KUUNDWA KWA JUMUIYA MPYA UINGEREZA
link : JOE WARIOBA - AZUNGUMZIA TUKIO LA KIHISTORIA LA KUUNDWA KWA JUMUIYA MPYA UINGEREZA
JOE WARIOBA - AZUNGUMZIA TUKIO LA KIHISTORIA LA KUUNDWA KWA JUMUIYA MPYA UINGEREZA
Kwa Simu Toka London- Na Freddy Macha
Joseph Warioba akifafanua kifupi jitihada za kuunganisha Watanzania wa kila aina Uingereza chini ya ulezi wa Mhe Balozi Dk Asha Rose Migiro.
Mkutano huu wa kipekee ulikutanisha Watanzania na marafiki zao zaidi ya 300 mjini Reading Jumamosi 23 Juni 2018 bila ubishani na migongano ya miaka iliyopita. Tukio hili la kihistoria limeweka mikakati ya kimaendeleo- kuacha siasa (na hisia) za kibinafsi na kilafi zilizotupaka matope Walowezi tunaoishi nchi ya Malkia Elizabeth...
Kwa habari zaidi BOFYA HAPA
Hivyo makala JOE WARIOBA - AZUNGUMZIA TUKIO LA KIHISTORIA LA KUUNDWA KWA JUMUIYA MPYA UINGEREZA
yaani makala yote JOE WARIOBA - AZUNGUMZIA TUKIO LA KIHISTORIA LA KUUNDWA KWA JUMUIYA MPYA UINGEREZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JOE WARIOBA - AZUNGUMZIA TUKIO LA KIHISTORIA LA KUUNDWA KWA JUMUIYA MPYA UINGEREZA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/joe-warioba-azungumzia-tukio-la.html
0 Response to "JOE WARIOBA - AZUNGUMZIA TUKIO LA KIHISTORIA LA KUUNDWA KWA JUMUIYA MPYA UINGEREZA"
Post a Comment