Loading...
title : KUFUATIA ZIARA YAKUSHITUKIZA JANA, BAKWATA YATOA NENO KWA RAIS MAGUFULI.
link : KUFUATIA ZIARA YAKUSHITUKIZA JANA, BAKWATA YATOA NENO KWA RAIS MAGUFULI.
KUFUATIA ZIARA YAKUSHITUKIZA JANA, BAKWATA YATOA NENO KWA RAIS MAGUFULI.
Na John Luhende
Mwambawahabari
Baraza la Waislamu Tanzania Bakwata limezungumzia Ziara ya kushitukiza aliyo ifanya jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph.
Akizungumza na wanahabari katika ofisi za Baraza hilo Msemaji wa Mufti Shekh Hamis Mataka, Amesema Mufti mkuu wa Tanzania Shekh Abubakari Zubeiry bin-Ally Mbwana amemshukuru Rais Magufuli kwa kuhamasisha ujenzi wa msikiti wa Bakwata na kwa kutoa mchango wake wa shilingi Milion kumi na kupongeza kwa kuwa mfuatiliaji wammbo.
Aidha amemshukuru Mfaume wa.. wasita wa Morocco kwa kufadhi ujenzi wa msikiti mkubwa wa Baraza la Waislamu Bakwata ambao utakuwa msikiti mkubwa wenye maeneo ya Maduka makubwa ya kitega uchumi.
Pamoja na hayo amesema kamati ya ufuatiliaji wa mwandamo wa mwezi ndiyo yenye Mamlaka na kutangaza.
Kesho Alhamis tarehe 29 ni siku ambayo mwezi utafuatiliwa, na kutaka umma wa kiislamu kufuatilia na atakaye uona mwezi atoe taarifa kwa Shekh wake au imamu wa msikiti wake.
"Suala la kuona mwezi lina hitaji kuthibitishwa na watu, kama uko Nachingwea Kuna imamu na mweleze na athibitishe kwa kuwa mwezi hauandami chumbani, jitambue basilica acha mazoea," alisema.
Pamoja na hayo amewataka Waislam kuto potosha taarifa za mwandamo wa mwezi ili kuondoa taharuki kwa umma.
Hivyo makala KUFUATIA ZIARA YAKUSHITUKIZA JANA, BAKWATA YATOA NENO KWA RAIS MAGUFULI.
yaani makala yote KUFUATIA ZIARA YAKUSHITUKIZA JANA, BAKWATA YATOA NENO KWA RAIS MAGUFULI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KUFUATIA ZIARA YAKUSHITUKIZA JANA, BAKWATA YATOA NENO KWA RAIS MAGUFULI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/kufuatia-ziara-yakushitukiza-jana.html
0 Response to "KUFUATIA ZIARA YAKUSHITUKIZA JANA, BAKWATA YATOA NENO KWA RAIS MAGUFULI."
Post a Comment