Loading...
title : KUMBUKUMBU YA MPENDWA WETU EDMUND LAWRENCE MUSHI
link : KUMBUKUMBU YA MPENDWA WETU EDMUND LAWRENCE MUSHI
KUMBUKUMBU YA MPENDWA WETU EDMUND LAWRENCE MUSHI
Leo 22/06/2018 Umetimiza miaka Mitatu tangu umefariki Huko Houston,TX,USA. Sisi ndugu zako umetuachia Huzuni na pengo ambalo halitazibika.Unakumb ukwa sana na watoto zako Luis(Anwar) na Jermaine.
Unakumbukwa na Baba yako Mzazi mzee Lawrence Mushi Kimbori,Wadogo zako Rudolf(dofu),Gaudenc e,Fulgence,Renatus(K ulwa),Claudia,Martha (Dotto/Manka) na Mary(Mkakeni).
Unakum bukwa na Ukoo wote wa Kimbori na Massawe.Unakumbukwa na ndugu Jamaa na marafiki zako wote.
Pia Unakumbukwa na wanajumuiya wa Tanzania Houston Community (THC) Houston TX, USA.
Bwana alitoa, Bwana ametwaa
Jina lake Lihimidiwe,
Amen.
Hivyo makala KUMBUKUMBU YA MPENDWA WETU EDMUND LAWRENCE MUSHI
yaani makala yote KUMBUKUMBU YA MPENDWA WETU EDMUND LAWRENCE MUSHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KUMBUKUMBU YA MPENDWA WETU EDMUND LAWRENCE MUSHI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/kumbukumbu-ya-mpendwa-wetu-edmund.html
0 Response to "KUMBUKUMBU YA MPENDWA WETU EDMUND LAWRENCE MUSHI"
Post a Comment