Loading...
title : MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAFANYAKAZI WA IDARA YA HABARI MAELEZO ZANZIBAR YAFANYIKA.
link : MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAFANYAKAZI WA IDARA YA HABARI MAELEZO ZANZIBAR YAFANYIKA.
MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAFANYAKAZI WA IDARA YA HABARI MAELEZO ZANZIBAR YAFANYIKA.
Afisa Utumishi Idara ya Habari Maelezo Ali Suleiman Bakili (Kushoto) akizungumza machache katika Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo Wafanyakazi wa Idara ya Habari Maelezo yaliofanyika katika ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Hassan Vuai(kulia) akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo Wafanyakazi wa Idara ya Habari Maelezo yaliofanyika katika ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Idara ya Habari Maelezo waliopatiwa mafunzo ya Kuwajengea Uwezo wa utendaji kazi yaliofanyika katika ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.
Muwezeshaji kutoka Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mussa Suleiman Maftah akiwasilisha mada Haki na Wajibu wa Mfanyakazi katika Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo Wafanyakazi wa Idara ya Habari Maelezo yaliofanyika katika ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.
Muwezeshaji kutoka Wizara ya Vijana Sanaa Utamaduni na Michezo Hamisuu Hamad Mohd akifafanua baadhi ya maswala yalioulizwa katika Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo Wafanyakazi wa Idara ya Habari Maelezo yaliofanyika katika ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.
Mfanyakazi wa Idara ya Habari Maelezo Ali Issa akiuliza maswali katika Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo Wafanyakazi wa Idara ya Habari Maelezo yaliofanyika katika ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.
Picha na Yussuf Simai - Maelezo Zanzibar.
Hivyo makala MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAFANYAKAZI WA IDARA YA HABARI MAELEZO ZANZIBAR YAFANYIKA.
yaani makala yote MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAFANYAKAZI WA IDARA YA HABARI MAELEZO ZANZIBAR YAFANYIKA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAFANYAKAZI WA IDARA YA HABARI MAELEZO ZANZIBAR YAFANYIKA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/mafunzo-ya-kuwajengea-uwezo-wafanyakazi.html
0 Response to "MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAFANYAKAZI WA IDARA YA HABARI MAELEZO ZANZIBAR YAFANYIKA."
Post a Comment