Loading...
title : MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA SWEDEN NCHINI ANAYEMALIZA MUDA WAKE
link : MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA SWEDEN NCHINI ANAYEMALIZA MUDA WAKE
MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA SWEDEN NCHINI ANAYEMALIZA MUDA WAKE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumzana Balozi wa Sweden nchini Mhe. Katarina Rangnitt ambaye amemaliza muda wake wa kazi .Balozi Katarina Rangnitt alifika ofisi kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam kwa lengo la kumuaga rasmi Makamu wa Rais. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi zawadi Balozi wa Sweden nchini Mhe. Katarina Rangnitt ambaye amemaliza muda wake wa kazi .Balozi Katarina Rangnitt alifika ofisi kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam kwa lengo la kumuaga rasmi Makamu wa Rais
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Sweden nchini Mhe. Katarina Rangnitt aliyefika ofisini kwa Makamu wa Rais kwa lengo la kumuaga baada ya muda wake wa kazi nchini kumalizika. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Sweden nchini Mhe. Katarina Rangnitt ambaye amemaliza muda wake wa kazi .Balozi Katarina Rangnitt alifika ofisi kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam kwa lengo la kumuaga rasmi Makamu wa Rais
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA SWEDEN NCHINI ANAYEMALIZA MUDA WAKE
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA SWEDEN NCHINI ANAYEMALIZA MUDA WAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA SWEDEN NCHINI ANAYEMALIZA MUDA WAKE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/makamu-wa-rais-akutana-na-balozi-wa.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA SWEDEN NCHINI ANAYEMALIZA MUDA WAKE"
Post a Comment