Loading...

MECHI YA NIGERIA, ARGENTINA KUAMUA NANI KATI YAO KUSONGA MBELE KOMBE LA DUNIA

Loading...
MECHI YA NIGERIA, ARGENTINA KUAMUA NANI KATI YAO KUSONGA MBELE KOMBE LA DUNIA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MECHI YA NIGERIA, ARGENTINA KUAMUA NANI KATI YAO KUSONGA MBELE KOMBE LA DUNIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MECHI YA NIGERIA, ARGENTINA KUAMUA NANI KATI YAO KUSONGA MBELE KOMBE LA DUNIA
link : MECHI YA NIGERIA, ARGENTINA KUAMUA NANI KATI YAO KUSONGA MBELE KOMBE LA DUNIA

soma pia


MECHI YA NIGERIA, ARGENTINA KUAMUA NANI KATI YAO KUSONGA MBELE KOMBE LA DUNIA

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii 

KIKOSI cha timu ya Nigeria kitakuwa na kibarua kizito dhidi ya timu ya Argentina ambapo mchezo wao mwisho wa makundi utakuwa wa kuamua nani aende hatua inayofuata.

Katika mchezo huo Mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi akitarajiwa kuonesha maajabu ya kuivusha timu ya Argentina.

Wote wakiwa kundi D Nigeria wenye alama tatu na Argentina wenye alama moja watakutana kesho saa 3 usiku kwa saa za Afrika Mashariki ambapo mechi hiyo itaamua nani wa kwenda hatua ya 16 bora.Mchezo huo unaochezwa kesho Jumanne katika dimba la Saint Petersurg Jijini Moscow unaratajiwa kuwa wa ushindani mkubwa sana ambapo Argentina wenye alama moja watahitaji ushindi wa aijna yoyote waweze kufikisha alama nne na kuvuka kwenda 16 bora.

Kwa upande wa Nigeria wenye alama wakiwa wamepoteza mchezo mmoja na kushinda mmoja wao watahitaji ushindi wa aina yoyote ili kuvuka hatua hiyo wakiwa wanamuombea Croatia ashinde kwenye mchezo wake dhidi ya timu ya Iceland.Hiyvo Argentina watashuka dimbani wakiwa tayari wamepoteza mmoja na kutoka sare mmoja kukiwa na taarifa kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo Jorge Sampaoli kutokupewa nafasi ya kupanga kikosi kitachovaana na The Super Eagles hata baada ya kuomba radhi kwa mashabiki wa timu hiyo na taifa kwa ujumla

Sampaoli alinukuliwa akisema “Kwa kweli nawajibika kwa matokeo haya lakini ilikuwa ndoto ya mashabiki kuwa timu yetu ingefika mbali, lakini haikuwa hivyo.”Kipigo hicho cha Kundi D kina maana kuwa Argentina, moja ya timu zilizokuwa zikipewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa kabla ya kuanza kwa mashindano hayo na ambayo iliifungwa katika fainali mwaka 2014, iko hatarini kutolewa katika raundi ya kwanza ya mashindano hayo


Hivyo makala MECHI YA NIGERIA, ARGENTINA KUAMUA NANI KATI YAO KUSONGA MBELE KOMBE LA DUNIA

yaani makala yote MECHI YA NIGERIA, ARGENTINA KUAMUA NANI KATI YAO KUSONGA MBELE KOMBE LA DUNIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MECHI YA NIGERIA, ARGENTINA KUAMUA NANI KATI YAO KUSONGA MBELE KOMBE LA DUNIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/mechi-ya-nigeria-argentina-kuamua-nani.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MECHI YA NIGERIA, ARGENTINA KUAMUA NANI KATI YAO KUSONGA MBELE KOMBE LA DUNIA"

Post a Comment

Loading...