Loading...

Melinda mlango wa Iceland baada ya muda katika penalti ya Messi aibuka mchezaji bora

Loading...
Melinda mlango wa Iceland baada ya muda katika penalti ya Messi aibuka mchezaji bora - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Melinda mlango wa Iceland baada ya muda katika penalti ya Messi aibuka mchezaji bora, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Melinda mlango wa Iceland baada ya muda katika penalti ya Messi aibuka mchezaji bora
link : Melinda mlango wa Iceland baada ya muda katika penalti ya Messi aibuka mchezaji bora

soma pia


Melinda mlango wa Iceland baada ya muda katika penalti ya Messi aibuka mchezaji bora



Mwambawahabari 
Golikipa wa timu ya taifa ya Iceland, Hannes Þór Halldórsson, amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mechi katika mchezo wa leo dhidi ya Argentina kwenye michuano ya Kombe la Dunia.

Halldorsson amepata tuzo hiyo baada ya kuokoa mipira mingi ya wachezaji wa Argentina ikiwemo penati ya Lionel Messi, ambayo ilionekana kumaliza furaha ya mchezaji huyo uwanjani.

Katika mchezo huo, mechi hiyo imeweza kumalizika kwa matokeo ya 1-1 na timu zote kuweza kuambulia alama moja.

Kipa huyo amemzuia Messi kujibu mapigo ya Hat-Trick aliyoyafanya Ronaldo jana dhidi ya Spain, Iceland imekuwa taifa dogo zaidi kushiriki kwenye michuano ya Kombe la dunia.


Hivyo makala Melinda mlango wa Iceland baada ya muda katika penalti ya Messi aibuka mchezaji bora

yaani makala yote Melinda mlango wa Iceland baada ya muda katika penalti ya Messi aibuka mchezaji bora Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Melinda mlango wa Iceland baada ya muda katika penalti ya Messi aibuka mchezaji bora mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/melinda-mlango-wa-iceland-baada-ya-muda.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Melinda mlango wa Iceland baada ya muda katika penalti ya Messi aibuka mchezaji bora"

Post a Comment

Loading...