Loading...
title : MSAADA WA KISHERIA BURE BILA MALIPO YOYOTE.
link : MSAADA WA KISHERIA BURE BILA MALIPO YOYOTE.
MSAADA WA KISHERIA BURE BILA MALIPO YOYOTE.
Wapo watu wana matatizo na wanahangaika kupata msaada wa bure wa kisheria lakini hawajui waanzie wapi,wafanye nini ili kupata huduma hii. Taratibu zipo, na unaweza kupata wakili wa kusimamia kesi yako bure bila malipo kupitia utaratibu wa msaada wa kisheria. Unaweza kupata uwakilishi huu katika kesi zote yaani zile za jinai pamoja na zile za madai.
Tunapoongelea za jinai tunamaanisha zile kesi za kuua,kubaka, kupiga,kutukana nk, na tunapoongelea kesi za madai tunamaanisha zile za ardhi kugombea mali, mirathi, ndoa, mikopo,watoto malezi, talaka, nk.
Kwahiyo pote kwenye jinai na madai unaweza kupata uwakilishi wa bure wa Wakili. Utasimamiwa kesi yako mwanzo hadi mwisho bila kuhitaji kulipa gharama yoyote. Na msaada wa kisheria unaweza kuwa wa uwakilishi kwa maana kuwa wakili utakusimamia mahakamani au unaweza kuwa wa ushauri tu bila kuhusisha mahakama au vyote kwa pamoja.
Lakini yafaa tufahamu kuwa sio watu wote wanaweza kupata msaada huu. Makala yataeleza utaratibu wa kupata msaada wa kisheria bure halikadhalika ni watu wa aina gani wanaweza kupata msaada huu.
1.WANAOSTAHILI KUPATA MSAADA WA KISHERIA BURE.
i)Watu wasiojiweza kabisa kifedha.
ii) Wanawake.
KUSOMA ZAIDI sheriayakub.blogspot.com
Hivyo makala MSAADA WA KISHERIA BURE BILA MALIPO YOYOTE.
yaani makala yote MSAADA WA KISHERIA BURE BILA MALIPO YOYOTE. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MSAADA WA KISHERIA BURE BILA MALIPO YOYOTE. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/msaada-wa-kisheria-bure-bila-malipo.html
0 Response to "MSAADA WA KISHERIA BURE BILA MALIPO YOYOTE."
Post a Comment