Loading...

MWANAMKE AUAWA MANYARA, CHANZO CHA KIFO BADO HAKIJAFAHAMIKA, MMOJA ASHIKILIWA NA POLISI

Loading...
MWANAMKE AUAWA MANYARA, CHANZO CHA KIFO BADO HAKIJAFAHAMIKA, MMOJA ASHIKILIWA NA POLISI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MWANAMKE AUAWA MANYARA, CHANZO CHA KIFO BADO HAKIJAFAHAMIKA, MMOJA ASHIKILIWA NA POLISI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MWANAMKE AUAWA MANYARA, CHANZO CHA KIFO BADO HAKIJAFAHAMIKA, MMOJA ASHIKILIWA NA POLISI
link : MWANAMKE AUAWA MANYARA, CHANZO CHA KIFO BADO HAKIJAFAHAMIKA, MMOJA ASHIKILIWA NA POLISI

soma pia


MWANAMKE AUAWA MANYARA, CHANZO CHA KIFO BADO HAKIJAFAHAMIKA, MMOJA ASHIKILIWA NA POLISI

Na. Vero Ignatus , Manyara.

Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jila la Josephine Peter (51)mkazi wa Mrara kata ya Mamire wilayani Babati ameuawa na watu wasiofahamika huku shingo yake ikikatwa na kitu chenye ncha kali.

Akizungumza leo Juni  21 Kamanda wa polisi mkoani Manyara Augustino Senga amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, amesema mwanamke huyo alifariki dunia juni 19 saa 4 usiku akiwa nyumbani kwake na mtu mmoja anashikiliwa na jeshi la polisi kwa uchunguzi zaidi kutokana na mauaji hayo.

Kamanda amesema kuwa hadi sasa chanzo cha mauaji hayo hakijafahamika kwani mwili wa marehemu umefanyiwa uchunguzi nakubainika kuwa hajabakwa kama watu wanavyozusha bali jeshi la polisi unaendelea na upelelezi wa tukio hilo la mauaji amesema kuwa ukikamilika taarifa kamili itatolewa

Mwili wa marehemu huyo umehifadhiwa kwenye hospitali ya mji wa Babati (Mrara)

Kamanda wa polisi Mkoa wa Manyara Augustino Senga.
 


Hivyo makala MWANAMKE AUAWA MANYARA, CHANZO CHA KIFO BADO HAKIJAFAHAMIKA, MMOJA ASHIKILIWA NA POLISI

yaani makala yote MWANAMKE AUAWA MANYARA, CHANZO CHA KIFO BADO HAKIJAFAHAMIKA, MMOJA ASHIKILIWA NA POLISI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MWANAMKE AUAWA MANYARA, CHANZO CHA KIFO BADO HAKIJAFAHAMIKA, MMOJA ASHIKILIWA NA POLISI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/mwanamke-auawa-manyara-chanzo-cha-kifo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MWANAMKE AUAWA MANYARA, CHANZO CHA KIFO BADO HAKIJAFAHAMIKA, MMOJA ASHIKILIWA NA POLISI"

Post a Comment

Loading...