Loading...
title : NAIBU SPIKA DKT. TULIA MGENI RASMI SIMIYU FESTIVAL 2018
link : NAIBU SPIKA DKT. TULIA MGENI RASMI SIMIYU FESTIVAL 2018
NAIBU SPIKA DKT. TULIA MGENI RASMI SIMIYU FESTIVAL 2018
Na Stella Kalinga, Simiyu,
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Dkt. Tulia Ackson anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tukio kubwa linalojulikana kwa jina la Simiyu Jambo Festival, ambalo linatarajiwa kufanyika Julai 8 mwaka huu katika Uwanja wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu, ambapo kwa mwaka huu 2018 linafanyika kwa mara ya pili
Tukio hilo ambalo linafanyika kwa mara ya pili , limebeba vipengele vikuu vinne vya mashindano ambavyo ni mashindano ya mbio za baiskeli, ngoma za asili( wagika na wagalu), mbio fupi kilomita 10 kwa wanaume na wnawake, mbio za uwanjani kwa watoto na uandishi wa insha ambapo kauli mbio yake ni Familia Yangu, Afya Yangu, Furaha Yangu.
Akizungumza na waandishi wa habari jana wakati ya uzinduzi wa tukio hilo, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthony Mtaka amesema kuwa tukio hilo, linalengo la kukuza vipaji kwa vijana wa Mkoa wa Simiyu na kutangaza tamaduni za kabila la Kisukuma na kwamba litahusisha wananchi wote kutoka mikoa mbalimbali.
“Tutakuwa na mashindano ya mbio za baiskeli kilomita 150 wanaume, kilomita 100 wanawake, kilomita 11 watu wenye ulemavu, mbio fupi za kilomita 10 wanaume na wanawake, mbio za watoto za uwanjani, uandishi wa insha kwa wanafunzi na zaidi ya shilingi milioni 22 zitashindaniwa nitoe wito kwa Watanzania wote hususani vijana kuchangamkia fursa hii” alisema Mtaka

Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo kuhusu, Simiyu Jambo Festival inayotarajiwa kufanyika Julai 08, 2018 mjini Bariadi.
Afisa Masoko wa Kampuni ya Vinywaji Bariadi ya Jambo (Jambo Food Products Company), Anthony Paul akisoma zawadi zitakazotolewa kwa washindi watakoashiriki katika matukio tofauti ya Simiyu Jambo Festival,ambalo litafanyika Julai 08, 2018 mjini Bariadi.
Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linashughulikia idadi ya watu (UNFPA) Mkoa wa Simiyu Dkt Amir Ibrahimu akitoa taarifa ya ushiriki wa Shirika hilo katika Simiyu Jambo Festival, ambalo litafanyika Julai 08, 2018 mjini Bariadi.
Hivyo makala NAIBU SPIKA DKT. TULIA MGENI RASMI SIMIYU FESTIVAL 2018
yaani makala yote NAIBU SPIKA DKT. TULIA MGENI RASMI SIMIYU FESTIVAL 2018 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU SPIKA DKT. TULIA MGENI RASMI SIMIYU FESTIVAL 2018 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/naibu-spika-dkt-tulia-mgeni-rasmi.html
0 Response to "NAIBU SPIKA DKT. TULIA MGENI RASMI SIMIYU FESTIVAL 2018"
Post a Comment