Loading...
title : Naibu Waziri wa Kilimo, Dkt. Mary Mwanjelwa atembelea kampuni ya Tanzanice Agrofood ltd ya Mkoani Njombe
link : Naibu Waziri wa Kilimo, Dkt. Mary Mwanjelwa atembelea kampuni ya Tanzanice Agrofood ltd ya Mkoani Njombe
Naibu Waziri wa Kilimo, Dkt. Mary Mwanjelwa atembelea kampuni ya Tanzanice Agrofood ltd ya Mkoani Njombe
Makamu wenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Kilimo,Mifugo na Maji Dkt.Christine Ishengoma(kushoto) akiangalia kwa makini kifungashio cha parachichi zinazozalishwa na kupakiwa na kampuni ya Tanzanice Agrofood Ltd. ya Mkoani Njombe. walipotembelea kiwanda hicho ikiwa ni sehemu ya ziara ya kamati hiyo kutembelea na kujifunza maeneo ya kilimo yanaratibiwa na Kituo ch Kuendeleza Kilimo Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania(SAGCOT). Kulia ni Contract farming Manager wa Kampuni hiyo Bw.Noel Lugenge
Naibu Waziri wa Kilimo Dkt.Mary Mwanjelwa(wapili kulia) akiwa ameshika parachichi pamoja na Makamu wenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Kilimo,Mifugo na Maji Dkt.Christine Ishengoma(wapili kushoto)
walipotembelea Kampuni ya Tanzanice Agrofood Ltd. Mkoani Njombe inayokusanya na kupatia zao hilo kwa kusafirisha katika masoko ya nje ikiwa ni sehemu ya ziara ya kamati hiyo kutembelea na kujifunza maeneo ya kilimo yanaratibiwa na Kituo ch Kuendeleza Kilimo Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania(SAGCOT). kushoto ni Contract farming Manager wa Kampuni hiyo Bi.Rebeca Hepelwa
Naibu Waziri wa Kilimo Dkt.Mary Mwanjelwa(wapili kulia) akiwa ameshika mche wa parachichi akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Kilimo,Mifugo na Maji Dkt.Christine Ishengoma walipotembelea Kampuni ya Tanzanice Agrofood Ltd. Mkoani Njombe inayokusanya na kupakia zao hilo kwa kusafirisha katika masoko ya nje.
Hivyo makala Naibu Waziri wa Kilimo, Dkt. Mary Mwanjelwa atembelea kampuni ya Tanzanice Agrofood ltd ya Mkoani Njombe
yaani makala yote Naibu Waziri wa Kilimo, Dkt. Mary Mwanjelwa atembelea kampuni ya Tanzanice Agrofood ltd ya Mkoani Njombe Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Naibu Waziri wa Kilimo, Dkt. Mary Mwanjelwa atembelea kampuni ya Tanzanice Agrofood ltd ya Mkoani Njombe mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/naibu-waziri-wa-kilimo-dkt-mary.html
0 Response to "Naibu Waziri wa Kilimo, Dkt. Mary Mwanjelwa atembelea kampuni ya Tanzanice Agrofood ltd ya Mkoani Njombe"
Post a Comment