Loading...

NICOLAUS WADADA NDANI YA KOMBE KAGAME AKIWA NA KIKOSI CHA AZAM

Loading...
NICOLAUS WADADA NDANI YA KOMBE KAGAME AKIWA NA KIKOSI CHA AZAM - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NICOLAUS WADADA NDANI YA KOMBE KAGAME AKIWA NA KIKOSI CHA AZAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NICOLAUS WADADA NDANI YA KOMBE KAGAME AKIWA NA KIKOSI CHA AZAM
link : NICOLAUS WADADA NDANI YA KOMBE KAGAME AKIWA NA KIKOSI CHA AZAM

soma pia


NICOLAUS WADADA NDANI YA KOMBE KAGAME AKIWA NA KIKOSI CHA AZAM

Na Agness Francis,globu ya Jami.

MABINGWA watetezi wa Afrika Mashariki na Kati Azam FC wapo kambini kujinoa kwa ajili ya maanadalizi ya mwisho kuhakikisha wanatetea kombe lao.

Kikosi hicho kiko tayari kwa ajili ya mashindano ya Kombe la Kagame kipo chini ya Kocha Iddy Cheche na Juma Mwambusi.

Mashindano hayo yataanza rasmi Juni 29 hadi Juni 13 ambayo siku hiyo kutafanyika ufunguzi rasmi wa michuano hiyo katika dimba la Azam Complex lililopo Chamazi jijini Dar es Salaam.

Ambapo Azam itavaana na timu ya Katori ya Sudani ya Kusini kuanzia saa 10 jioni huku Singinda United wakivaana na APR ya Rwanda Uwanja wa Taifa saa moja usiku.Akizungumza leo jijini Dar es Salaam Msemaji wa Azam Jaffary Maganga amesema kikosi chao kipo vizuri na wapo tayari kwa mashindano hayo ambayo kila timu inaliwania kombe hilo.

Amesema kutakuwa na ushindani wa hali ya juu ambapo timu zote zinazoshiriki zina uwezo mkubwa wa kuweza kufanya lolote katika michuano hiyo."Sisi kama mabingwa watetezi wa kombe hilo macho ya watu na timu zingine yanatuangalia sisi tutafanya nini,tutahakikisha tunafanya vizuri katika mashindano haya ili kulietea heshima nchi yetu pamoja na klabu yetu kwa ujumla,"amesema Jaffary.

Msemaji huyo amesema kuwa mchezaji wao mpya Nicolaus Wadada ambaye pia ni miongoni mwa watakaoshiriki mashindano hayo ya Kagame Cup (CECAFA) kutokea nchini Uganda katika klabu ya vipers ameshawasili nchini."Tayari amejumuika kikosini na wenzake kwa ajili ya maandalizi.Pia katika michuano hiyo kuna badhi ya wachezaji watashindwa kushiriki mashindano kutokana na sababu mbalimbali,"amesema.

Amewataja baadhi ya wachezaji hao ni Donald Ngoma,Tafadwa Kuntinyu, Yakubu Mohammed na Daniel Amor.


Hivyo makala NICOLAUS WADADA NDANI YA KOMBE KAGAME AKIWA NA KIKOSI CHA AZAM

yaani makala yote NICOLAUS WADADA NDANI YA KOMBE KAGAME AKIWA NA KIKOSI CHA AZAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NICOLAUS WADADA NDANI YA KOMBE KAGAME AKIWA NA KIKOSI CHA AZAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/nicolaus-wadada-ndani-ya-kombe-kagame.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NICOLAUS WADADA NDANI YA KOMBE KAGAME AKIWA NA KIKOSI CHA AZAM"

Post a Comment

Loading...