Loading...

RC MAKONDA ATOA ULAJI KWA VIJANA WA MGAMBO NA JKT,AWATAKA WEYE MAKAMPUNI YA KUZOATAKA

Loading...
RC MAKONDA ATOA ULAJI KWA VIJANA WA MGAMBO NA JKT,AWATAKA WEYE MAKAMPUNI YA KUZOATAKA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC MAKONDA ATOA ULAJI KWA VIJANA WA MGAMBO NA JKT,AWATAKA WEYE MAKAMPUNI YA KUZOATAKA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC MAKONDA ATOA ULAJI KWA VIJANA WA MGAMBO NA JKT,AWATAKA WEYE MAKAMPUNI YA KUZOATAKA
link : RC MAKONDA ATOA ULAJI KWA VIJANA WA MGAMBO NA JKT,AWATAKA WEYE MAKAMPUNI YA KUZOATAKA

soma pia


RC MAKONDA ATOA ULAJI KWA VIJANA WA MGAMBO NA JKT,AWATAKA WEYE MAKAMPUNI YA KUZOATAKA

 Mwamba wa habari
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam  Mhe. Paul Makonda  amewataka Vijana waliomaliza  mafunzo ya JKT na Mgambo  na hawana  kazi  kufika ofisini kwake Ijumaa ya  July 06  kwaajili ya kupatiwa ajira ya  kusimamia usafi na kuwatoza faini  vinara wa uchafuzi wa mazingira.

RC Makonda  amesema katika fedha itakayotozwa kwa wachafuzi wa mazingia  50% itaenda kwenye Halmashauri na 50% kwa vijana wa JKT na Mgambo  ambapo kabla Vijana hao hawajakabidhiwa jukumu hilo watapewa  mafunzo ya Sheria ya Usafi.

Huu ni  Ubunifu Mkubwa  aliofanya  RC Makonda  katika kutatua tatizo laajira kwa vijana sambamba na kuufanya  mji kuwa katika hali ya usafi  baada ya  mbinu  nyingi zilizokuwa zikitumiwa  kuhamasisha usafi kutokuwa na  matokeo mazuri  lakini kwa hii  RC Makonda  tunaenda kuona Dar es salaam ikiwa Safi. 

Aidha  RC Makonda  ameagiza  makampuni yote yaliyopewa tenda ya usafi Dar es salaam  kuanzia ngazi ya Mitaa, Kata na Halmashauri kufika ofisini kwake Jumatano ya  July 04  wakiwa na mikataba  yao kwaajili ya kujiridhisha  uwezo wao wa kufanya kazi  baada ya uchunguzi aliofanya kubaini  uwepo wa kampuni zilizopewa tenda Kubwa wakati hawana vifaa vya kutosha. 

Hata hivyo  RC Makonda  ameziagiza Manispaa zote za jiji hilo kuhakikisha  kila mfanyabiashara na vituo vya daladala vinakuwa na Sehemu ya kuweka taka  (dustbin).

Pamoja na hayo  RC Makonda  ametangaza fursa kwa wadau wenye  vyoo vya kuhama  (mobile toilet) kufika ofisini kwake ili wakutanishwe na halmashauri ili waweke  makubaliano  ya ushirikiano ili kuondoa  tabia ya watu kujisaidia kwenye kuta na vichochoro. 

Miongoni mwa majukumu ya Vijana hao ni kuhakiki makampuni kwenye mitaa kama yapo na yanafanya kazi kweli, kujua wananchi wanapeleka wapi takataka, kukamata watupaji wa taka na kuwatoza faini ambapo Kama huna pesa utapewa adhabu ya kufanya usafi wiki nzima chini ya usimamizi mkali.


Hivyo makala RC MAKONDA ATOA ULAJI KWA VIJANA WA MGAMBO NA JKT,AWATAKA WEYE MAKAMPUNI YA KUZOATAKA

yaani makala yote RC MAKONDA ATOA ULAJI KWA VIJANA WA MGAMBO NA JKT,AWATAKA WEYE MAKAMPUNI YA KUZOATAKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA ATOA ULAJI KWA VIJANA WA MGAMBO NA JKT,AWATAKA WEYE MAKAMPUNI YA KUZOATAKA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/rc-makonda-atoa-ulaji-kwa-vijana-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RC MAKONDA ATOA ULAJI KWA VIJANA WA MGAMBO NA JKT,AWATAKA WEYE MAKAMPUNI YA KUZOATAKA"

Post a Comment

Loading...